Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Dina
abeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dina
Bongo kuna celebrate hakuna celebrity 😀😀Ni celebrate au celebrity?
Ngoja akaonje selo kdg, maana huyu jamaa anajifanyaga anajua kila kitu!Huyu jamaa Kama wamemlaza ndichi aka cello jamaa maniga 'wamfaidi' tu maana ana Mambo ya kichoko sana
tunaisubiri mkuuNgoja nirudi kwenye gallery yangu nikainyanyue tena ile video yake na Yule kahab Menina, nilinganishe na ile kondoo nyeupe ya GawajiBoy Uno nione ni mwanasisiem yupi kati yao alongonoka na kondoo tamu tamu
Siku zote humu huwa nawambia jela, selo haina mwenyewe hyo mwijaku mwenyewe alimponda idrisWazee mnaofurahia mtu kuingia jela ni kwamba unaweza ukawa unacomment jf muda huu dk 20 mbele ukajikuta upo kituoni na ndani ukalala.
Kusema hayo haimaanishi kwamba naunga mkono alichofanya ila sioni logic ya kuchekelea mtu kulala ndani.
Boss kwa upande wangu nimekaa segerea miezi 2..hakuna anaependa mtu aende jela Ila tabia za huyo jamaa haziwezi mfurahisha mwanaume yoyote yule rijali..!Wazee mnaofurahia mtu kuingia jela ni kwamba unaweza ukawa unacomment jf muda huu dk 20 mbele ukajikuta upo kituoni na ndani ukalala.
Kusema hayo haimaanishi kwamba naunga mkono alichofanya ila sioni logic ya kuchekelea mtu kulala ndani.
Mwijaku ambaye ni miongoni mwa watia nia waliojitokeza kuomba ubunge kwa tiketi ya CCM, amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu kwa kusambaza picha za utupu kwenye mtandao wa Whatsapp.
Inadaiwa alitenda kosa hilo kati ya Septemba 15 na Oktoba 10 mwaka 2019 .
------
Aliyekuwa mtia nia wa Ubunge Jimbo la Kawe na Mtangazaji wa Clouds, Mwemba Brighton maarufu Mwijaku (35) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kusambaza picha za utupu.
Mwijaku alisomewa mashtaka hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate.
Mwijaku ambaye alikana mashitaka hayo, amekosa dhamana baada ya kushindwa kutimiza masharti ambayo ni kuwa na wadhamini wawili kutoka ama Bongo Movie au tasnia ya muziki wenye barua zilizothibitishwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) na kusaini kila mmoja Sh 500,000.
Duh huko kwenda hakuna formula mzeeBoss kwa upande wangu nimekaa segerea miezi 2..hakuna anaependa mtu aende jela Ila tabia za huyo jamaa haziwezi mfurahisha mwanaume yoyote yule rijali..!
Muache aone joto la cello then akitoka atakua kajifunza kitu.
Labda alipoona wale wasanii akina nandy na yule mwenzake wameponea tundu la sindano akaona kumbe siyo ishu.Duh huko kwenda hakuna formula mzee
Ila Hawa jamaa wamejaa na dharau kiburi
Umaarufu wake Labda alijua huko mahakamani watamshobokea
Kesi hiyo tu ukiangalia alikuwa anaichukulia poa tu
Wakati ukiwa na kesi na ikifika mahakamani hutakiwi kuleta dharau
Ova
Siyo kushindwa, alidharau kesiLaki 5 tu mtu nne totaly mil 2 ,wajumbe wameshindwa [emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi kwa akili zangu siwezi sambaza picha za manzi niliyelala naye. Huyu jamaa ni popoma na alitakiwa kuwa boycotted na media zote, akose followers na asihusishwe na kazi zozote za kisanaa. Upuuzi aliofanya ni wa viwango vya lami, mshamba mkubwa.Wazee mnaofurahia mtu kuingia jela ni kwamba unaweza ukawa unacomment jf muda huu dk 20 mbele ukajikuta upo kituoni na ndani ukalala.
Kusema hayo haimaanishi kwamba naunga mkono alichofanya ila sioni logic ya kuchekelea mtu kulala ndani.
Boss tusubiri ushahidi. Ana vitabia vya hovyo hovyo kiukweli hasa vya kuongelea kila jambo ila ngoje tuone kama ana hatia kupitia ushahidi.Mimi kwa akili zangu siwezi sambaza picha za manzi niliyelala naye. Huyu jamaa ni popoma na alitakiwa kuwa boycotted na media zote, akose followers na asihusishwe na kazi zozote za kisanaa. Upuuzi aliofanya ni wa viwango vya lami, mshamba mkubwa.