Mwijaku afikishwa Kisutu na kushtakiwa kusambaza picha za utupu. Ashindwa kutimiza masharti ya dhamana

Hili la wadhamini limekaaje? Tz mbona ina mambo ya ajabu? Sipati taswira ya hakimu anayetaka sharti la ajabu kiasi hiki!. Kwa nini asingeoewa nafasi ya angalau mwajiri wake awe mmoja wa wadhamini?
Unamaanisha Mr Joe Kusaga?Mwajiri wake kuwa mdhamini wahiyo kesi ni kujishushia heshima na kudharaulika.

Avune alichokipanda
 
mwijaku anakosa nhadi wadhamini na mtandaoni anapiga sana kelele utadhani istagram yake...wamtafutie kipindi cha ushambenga kitamfaa
 
kudhalilisha wanawake na kutufanya wanaume wenzio kama na sisi hatusimamishi wakati kuna uwezekano huyo mwijaku ana kibamia na wengine akina sie tuna magogo ya mti..afungwe jela miezi 12 sio mbaya sana itasaidia kurekebsha taarifa kwenye jamii
 
Ina maana hata wale anaotangaza nao hawakuwepo kumdhamini?.
 
Hao Klauz nao hawatumii hata akili, Mtu ana kesi ya udhalilishaji bado wanampa kipindi atangazie Jamii.
 
Hao Klauz nao hawatumii hata akili, Mtu ana kesi ya udhalilishaji bado wanampa kipindi atangazie Jamii.
Unafikiri wanajali....Hao clouds
Ila Wajumbe ndomana walichinjilia mbali.....

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…