mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Nilizionaga humu humu,sikuzi save boss.Kama unayo notumie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilizionaga humu humu,sikuzi save boss.Kama unayo notumie
Unamaanisha Mr Joe Kusaga?Mwajiri wake kuwa mdhamini wahiyo kesi ni kujishushia heshima na kudharaulika.Hili la wadhamini limekaaje? Tz mbona ina mambo ya ajabu? Sipati taswira ya hakimu anayetaka sharti la ajabu kiasi hiki!. Kwa nini asingeoewa nafasi ya angalau mwajiri wake awe mmoja wa wadhamini?
mwijaku anakosa nhadi wadhamini na mtandaoni anapiga sana kelele utadhani istagram yake...wamtafutie kipindi cha ushambenga kitamfaa
Mwijaku ambaye ni miongoni mwa watia nia waliojitokeza kuomba ubunge kwa tiketi ya CCM, amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu kwa kusambaza picha za utupu kwenye mtandao wa Whatsapp.
Inadaiwa alitenda kosa hilo kati ya Septemba 15 na Oktoba 10 mwaka 2019 .
------
Aliyekuwa mtia nia wa Ubunge Jimbo la Kawe na Mtangazaji wa Clouds, Mwemba Brighton maarufu Mwijaku (35) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kusambaza picha za utupu.
Mwijaku alisomewa mashtaka hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate.
Mwijaku ambaye alikana mashitaka hayo, amekosa dhamana baada ya kushindwa kutimiza masharti ambayo ni kuwa na wadhamini wawili kutoka ama Bongo Movie au tasnia ya muziki wenye barua zilizothibitishwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) na kusaini kila mmoja Sh 500,000.
anaetaka aje inbox nimpatie vituNilizionaga humu humu,sikuzi save boss.
Diana Spenceranaetaka aje inbox nimpatie vitu
njoo kwenye inbox yangu...tusiweke humu kuku wengi yatatukuta na sie tukaenda segerea bure
Cele bonge[emoji2][emoji2][emoji2]Cele what[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa wa kulia ni mwanaume?
Huyu jamaa wa kulia ni mwanaume?
California love
Unafikiri wanajali....Hao cloudsHao Klauz nao hawatumii hata akili, Mtu ana kesi ya udhalilishaji bado wanampa kipindi atangazie Jamii.
Imebaki nicheke tu.