Boss tusubiri ushahidi. Ana vitabia vya hovyo hovyo kiukweli hasa vya kuongelea kila jambo ila ngoje tuone kama ana hatia kupitia ushahidi.
Also motive ya kusambaza hizo picha ni vyema tukaijua.
Upuuzi mwingine tumezoea kuuona kwenye muvi. So anawafanya wampende kwanza kisha hizi komedi zinafuatia?Huyo jamaa tangu akiwa chuo inasemekana anawa blackmail wanawake,ili asiachie picha apewe mshiko,ndo michezo yake,hata hiyo ya menina aliblackmail manzi alipoona analiwa hela jamaa anachukua mshiko halafu anatishia tena kuachia asipopewa tena mshiko akaona liwalo liwe,hata hiyo kesi dem alifungua kwamba jamaa anablackmail
Upuuzi mwingine tumezoea kuuona kwenye muvi. So anawafanya wampende kwanza kisha hizi komedi zinafuatia?
Mwajiri hana uamuzi mahakama ikiamuru.Unamaanisha Mr Joe Kusaga?Mwajiri wake kuwa mdhamini wahiyo kesi ni kujishushia heshima na kudharaulika.
Avune alichokipanda
Waache ujinga wa kuchukua picha za utupu.Huyo jamaa tangu akiwa chuo inasemekana anawa blackmail wanawake,ili asiachie picha apewe mshiko,ndo michezo yake,hata hiyo ya menina aliblackmail manzi alipoona analiwa hela jamaa anachukua mshiko halafu anatishia tena kuachia asipopewa tena mshiko akaona liwalo liwe,hata hiyo kesi dem alifungua kwamba jamaa anablackmail
Ni celebrate au celebrity?
Alafu wanakuambia Mimi Kioo cha jamii
Ova
AI u tupu..na kukosa wadhamini tafsiri yake wamemchokaHawa ndiyo ma celebrity wetu Bongo
Hiyo ni dalili ya kuchokwa....AI u tupu..na kukosa wadhamini tafsiri yake wamemchoka
Mwijaku Ni mpuuzi sijui Ni kwanini clouds wamemuajili huyu jamaa?Ndo hivo
Hapa CCM inaingiaje? naona upo addicted Sana siasaCCM IMEJAA TAKATAKA YA KILA AINA
Naona nawe uwangaliwe kwa umakini isije ukawa na tabia Kama za mwijaku.sisi wananchi wa kazuramimba tunakuombea ndugu yetu mwiijaku tatizo hili liishe.
kwa nini wamemuwekea mashriti magumu ya fhamana?! hii sio sawa ! kwani kahujumu uchumi?!au kaua?!
Chuo chenyewe hajamalza..ni moja ya vjana wenye tabia hovyo kabsa.nashndwa kujua umaarufu anaupatia wapi..ila kwa wanaomjua vzur..ni kijana mmoja msumbufu sana.huko insta naona anadanganya..haonyesh uhalisiaHuyo jamaa tangu akiwa chuo inasemekana anawa blackmail wanawake,ili asiachie picha apewe mshiko,ndo michezo yake,hata hiyo ya menina aliblackmail manzi alipoona analiwa hela jamaa anachukua mshiko halafu anatishia tena kuachia asipopewa tena mshiko akaona liwalo liwe,hata hiyo kesi dem alifungua kwamba jamaa anablackmail
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Segerea siku ya kwanza lazima alale mchongoma, wale jamaa hawanaga shobo na mtu. Hata ukienda na suti unaambiwa bosi hukohuko nje.
Eti ndiyo alitaka kuwa mbunge wa kaweChuo chenyewe hajamalza..ni moja ya vjana wenye tabia hovyo kabsa.nashndwa kujua umaarufu anaupatia wapi..ila kwa wanaomjua vzur..ni kijana mmoja msumbufu sana.huko insta naona anadanganya..haonyesh uhalisia
mwinjaku ni kada kindaki ndakiHapa CCM inaingiaje? naona upo addicted Sana siasa