Mwijaku afikishwa Kisutu na kushtakiwa kusambaza picha za utupu. Ashindwa kutimiza masharti ya dhamana

Huyo jamaa tangu akiwa chuo inasemekana anawa blackmail wanawake,ili asiachie picha apewe mshiko,ndo michezo yake,hata hiyo ya menina aliblackmail manzi alipoona analiwa hela jamaa anachukua mshiko halafu anatishia tena kuachia asipopewa tena mshiko akaona liwalo liwe,hata hiyo kesi dem alifungua kwamba jamaa anablackmail
Boss tusubiri ushahidi. Ana vitabia vya hovyo hovyo kiukweli hasa vya kuongelea kila jambo ila ngoje tuone kama ana hatia kupitia ushahidi.

Also motive ya kusambaza hizo picha ni vyema tukaijua.
 
Huyo jamaa tangu akiwa chuo inasemekana anawa blackmail wanawake,ili asiachie picha apewe mshiko,ndo michezo yake,hata hiyo ya menina aliblackmail manzi alipoona analiwa hela jamaa anachukua mshiko halafu anatishia tena kuachia asipopewa tena mshiko akaona liwalo liwe,hata hiyo kesi dem alifungua kwamba jamaa anablackmail
Upuuzi mwingine tumezoea kuuona kwenye muvi. So anawafanya wampende kwanza kisha hizi komedi zinafuatia?
 
Huyo jamaa tangu akiwa chuo inasemekana anawa blackmail wanawake,ili asiachie picha apewe mshiko,ndo michezo yake,hata hiyo ya menina aliblackmail manzi alipoona analiwa hela jamaa anachukua mshiko halafu anatishia tena kuachia asipopewa tena mshiko akaona liwalo liwe,hata hiyo kesi dem alifungua kwamba jamaa anablackmail
Waache ujinga wa kuchukua picha za utupu.
 
sisi wananchi wa kazuramimba tunakuombea ndugu yetu mwiijaku tatizo hili liishe.
kwa nini wamemuwekea mashriti magumu ya fhamana?! hii sio sawa ! kwani kahujumu uchumi?!au kaua?!
 
Naona nawe uwangaliwe kwa umakini isije ukawa na tabia Kama za mwijaku.
 
Watu kama hao ni kuwafungia maisha kujihusisha na tasnia ya sanaa yoyote, ili liwe funzo kwa wengine. Sijui wizara ya habari inakwama wapi?.
 
Huyo jamaa tangu akiwa chuo inasemekana anawa blackmail wanawake,ili asiachie picha apewe mshiko,ndo michezo yake,hata hiyo ya menina aliblackmail manzi alipoona analiwa hela jamaa anachukua mshiko halafu anatishia tena kuachia asipopewa tena mshiko akaona liwalo liwe,hata hiyo kesi dem alifungua kwamba jamaa anablackmail
Chuo chenyewe hajamalza..ni moja ya vjana wenye tabia hovyo kabsa.nashndwa kujua umaarufu anaupatia wapi..ila kwa wanaomjua vzur..ni kijana mmoja msumbufu sana.huko insta naona anadanganya..haonyesh uhalisia
 
Segerea siku ya kwanza lazima alale mchongoma, wale jamaa hawanaga shobo na mtu. Hata ukienda na suti unaambiwa bosi hukohuko nje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chuo chenyewe hajamalza..ni moja ya vjana wenye tabia hovyo kabsa.nashndwa kujua umaarufu anaupatia wapi..ila kwa wanaomjua vzur..ni kijana mmoja msumbufu sana.huko insta naona anadanganya..haonyesh uhalisia
Eti ndiyo alitaka kuwa mbunge wa kawe
Mhuni huyu..... Kweli Wajumbe Wanajua kuchuja

Ova
 
Back
Top Bottom