Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Huyo jamaa tangu akiwa chuo inasemekana anawa blackmail wanawake,ili asiachie picha apewe mshiko,ndo michezo yake,hata hiyo ya menina aliblackmail manzi alipoona analiwa hela jamaa anachukua mshiko halafu anatishia tena kuachia asipopewa tena mshiko akaona liwalo liwe,hata hiyo kesi dem alifungua kwamba jamaa anablackmail
Boss tusubiri ushahidi. Ana vitabia vya hovyo hovyo kiukweli hasa vya kuongelea kila jambo ila ngoje tuone kama ana hatia kupitia ushahidi.
Also motive ya kusambaza hizo picha ni vyema tukaijua.