Mwijaku afikishwa Kisutu na kushtakiwa kusambaza picha za utupu. Ashindwa kutimiza masharti ya dhamana

Hao ndio makada kindakindaki... ninachojiuliza hivi wale wasanii wooote makada hawana mahusiano mema ya kidugu na Mwijaku?
Au ndio ule usemi unatimia "...HAWAACHIANI GLASI MEZANI!" unatimia...
 
Hii kesi kufufuliwa upya kuna jambo nyuma ya pazia
Kesi haijafunguliwa upya bali ilikuwepo na ilikuwa inaendelea.
.
Kukutwa na kesi ya kujibu si kwamba umekutwa na hatia.
.
Bali Hakimu ameona kwamba kulikuwa na sababu za kuonesha kwamba sheria ilivunjwa.
.
Sio GUILD VERDICT.Guilt verdict inafikiwa baada ya utetezi kuleta HOJA zao pamoja mashahidi wao ili kuthibitisha innocense yao.
.
Sasa Katika hatua hii DPP anaweza kuleta ombi la kutokutaka kuendelea na kesi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hii kesi kufufuliwa upya kuna jambo nyuma ya pazia
Menina alimstaki mwijaku muda kidogo baada ya uvujwaji wa ile video ila kutokana na kesi nyinyi za Tanzania especially zinazohusisha ushahidi zinachukuwa muda mrefu ndio maana umeona hukumu ndio imetoka leo
 
Kwahiyo anaweza kwenda jela? Miaka mingapi hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…