Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Alizani wajumbe niwapuuzi kama yeye?Eti ndiyo alitaka kuwa mbunge wa kawe
Mhuni huyu..... Kweli Wajumbe Wanajua kuchuja
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alizani wajumbe niwapuuzi kama yeye?Eti ndiyo alitaka kuwa mbunge wa kawe
Mhuni huyu..... Kweli Wajumbe Wanajua kuchuja
Ova
Sasa Kama akiwa Ni kada ccm inahusiana vip na maisha yake binafsi?mwinjaku ni kada kindaki ndaki
Wajumbe Wanajua kufanya vettingAlizani wajumbe niwapuuzi kama yeye?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wajumbe Wanajua kufanya vetting
Ova
Sema umaarufu wake Ni wa sifa mbaya so usishangae kwa hiloKwa mtu maarufu kama yeye imekuwaje ameshindwa masharti mepesi hivyo
Hao ndio makada kindakindaki... ninachojiuliza hivi wale wasanii wooote makada hawana mahusiano mema ya kidugu na Mwijaku?
Mwijaku ambaye ni miongoni mwa watia nia waliojitokeza kuomba ubunge kwa tiketi ya CCM, amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu kwa kusambaza picha za utupu kwenye mtandao wa Whatsapp.
Inadaiwa alitenda kosa hilo kati ya Septemba 15 na Oktoba 10 mwaka 2019 .
------
Aliyekuwa mtia nia wa Ubunge Jimbo la Kawe na Mtangazaji wa Clouds, Mwemba Brighton maarufu Mwijaku (35) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kusambaza picha za utupu.
Mwijaku alisomewa mashtaka hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate.
Mwijaku ambaye alikana mashitaka hayo, amekosa dhamana baada ya kushindwa kutimiza masharti ambayo ni kuwa na wadhamini wawili kutoka ama Bongo Movie au tasnia ya muziki wenye barua zilizothibitishwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) na kusaini kila mmoja Sh 500,000.
... japo hawajashikilia state apparatus or machinery! Nor do they have command on them.Wajumbe Wanajua kufanya vetting
Ova
Wachaf watupuMhamasishaji wa Royal Tour
Kesi haijafunguliwa upya bali ilikuwepo na ilikuwa inaendelea.Hii kesi kufufuliwa upya kuna jambo nyuma ya pazia
Menina alimstaki mwijaku muda kidogo baada ya uvujwaji wa ile video ila kutokana na kesi nyinyi za Tanzania especially zinazohusisha ushahidi zinachukuwa muda mrefu ndio maana umeona hukumu ndio imetoka leoHii kesi kufufuliwa upya kuna jambo nyuma ya pazia