Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
Habari wadau,

Mwijaku chawa na influencer maarufu amejenga nyumba ya ghorofa kigamboni

Mwijaku anafanya kazi amazo wengi tunaona ni za aibu ila ana maisha mazuri ambayo wasomi wengi wa zama zake hawana hata nusu yake.

Mwijaku ni graduate wa university of Dar es salaam (Udsm) class of 2013 - yaani kamaliza chuo miaka kumi iliyopita

Ujumbe wangu wewe Graduates unaeona aibu kufaanya kazi yoyote itakula kwako wewe na kizazi chako

Your browser is not able to display this video.


Jiulize ni wangapi aliomaliza nao chuo ambao wanamzidi Mwijaku maisha ?


MWIJAKU SIO MVIVU ANAFANYA KAZI NYINGI SANA NDANI YA MUDA MMOJA. KOTE ANAPOKEA HELA

1. Anafanya kazi media Anatangaza clouds

2. Anafanya kazi media nyingine Star times anatangaza kipindi cha Mr right

3. Anafanya ya kuigiza. Anaigiza kwenye tamthilia ya DSTV kama main character

4. Anafanya kazi ya ubalozi wa kampuni ya Silent ocean

5. Anafanya kazi na serikali kama influencer wa awamu ya 6 ya Mama Samia.

6. Anapiga dili za wafanyabiashara wengine kibao. Anatangaza bidhaa za biashara za watu wengine wengi mfano Hamidu City, kampuni ya rangi na wengineo kibao

Mtu kama huyu anashindwaje kujenga nyumba ya milioni 400
 
Kwahiyo na wewe uko tayari kupanuliwa na Waarabu upate ghorofa?

Kizazi hiki ni hasara tupu, mbele ya watu weñye akili timamu unamleta Mwijaku ndio awe role model? Kweli?

Iombe radhi JF na members wake hii ni dharau kupita kiasi.
 
Hiyo ni nguvu ya.....

Traki, treki, triki, troko, truko

TRAAKo, treko, triko, troko, truko

Hata sijui nasema nini walah😄
 
Hiyo ni nguvu ya...
Traki, treki, triki, troko, truko

TRAAKo, treko, triko, troko, truko

Hata sijui nasema nini walah😄
 
Hongera kwa kazi nzuri ya kuipamba dunia ingawa hutaishi milele ndo tatizo lilipo
 
Tetesi: Huyo pia ni dalali wa pisi za Instagram, anawapelekea pisi Madon 🤣🤣
Huyo yeye mwenyewe ni pisi Kali mbona?

Dalali ni Stive Nyerere ukiwataka kina Irene wale Wolper category unampa advance anakuletea zigo mpaka hotelini unammalizia mpunga wake anakuachia goma ubargain mwenyewe utalilipa ngapi likuvulie chupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…