Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje

Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje

Kwahiyo na wewe uko tayari kupanuliwa na Waarabu upate ghorofa?

Kizazi hiki ni hasara tupu, mbele ya watu weñye akili timamu unamleta Mwijaku ndio awe role model? Kweli?

Iombe radhi JF na members wake hii ni dharau kupita kiasi.

Matusi ni kipimo cha kukosa ustaarabu.

Hoja nzima haina tusi hata moja. Lakini mchangia hoja umeleta matusi.

Tujitahidi Umaskini wetu na ukosefu wa fursa za ajira usitufanye tukose ustaarabu wa kutukana tukana hovyo.
 
Wewe huna akili kichwani, na Yule Mke wako Kwa sababu siyo pisi Kali bahati yako, angekuwa pisi ya ukweli ungegongewa mpaka akili ikukae sawa.

Hapa siyo Instagram, ujinga wako peleka hukohuko Instagram Kwa mazezeta wenzio, huku umedandia mtumbwi wa vibwengo.
 
Ni kazi gani anazozifanya?

1. Anafanya kazi media Anatangaza clouds

2. Anafanya kazi media nyingine Star times anatangaza kipindi cha Mr right

3. Anafanya ya kuigiza. Anaigiza kwenye tamthilia ya DSTV kama main character

4. Anafanya kazi ya ubalozi wa kampuni ya Silent ocean

5. Anafanya kazi na serikali kama influencer wa awamu ya 6 ya Mama Samia.

6. Anapiga dili za wafanyabiashara wengine kibao. Anatangaza bidhaa za biashara za watu wengine wengi mfano Hamidu City, kampuni ya rangi na wengineo kibao

Mtu kama huyu anashindwaje kujenga nyumba ya milioni 400
 
Habari wadau,

Mwijaku chawa na influencer maarufu amejenga nyumba ya ghorofa kigamboni

Mwijaku anafanya kazi amazo wengi tunaona ni za aibu ila ana maisha mazuri ambayo wasomi wengi wa zama zake hawana hata nusu yake.

Mwijaku ni graduate wa university of Dar es salaam (Udsm) class of 2013 - yaani kamaliza chuo miaka kumi iliyopita

Ujumbe wangu wewe Graduates unaeona aibu kufaanya kazi yoyote itakula kwako wewe na kizazi chako

View attachment 2862148

Jiulize ni wangapi aliomaliza nao chuo ambao wanamzidi Mwijaku maisha ?
Kesho utatuambia Mwijaku amepaa kaenda zake mbinguni kwa kazi yake ya uchawa.
 
1. Anafanya kazi media Anatangaza clouds

2. Anafanya kazi media nyingine Star times anatangaza kipindi cha Mr right

3. Anafanya ya kuigiza. Anaigiza kwenye tamthilia ya DSTV kama main character

4. Anafanya kazi ya ubalozi wa kampuni ya Silent ocean

5. Anafanya kazi na serikali kama influencer wa awamu ya 6 ya Mama Samia.

6. Anapiga dili za wafanyabiashara wengine kibao. Anatangaza bidhaa za biashara za watu wengine wengi mfano Hamidu City na wengineo kibao

Mtu kama huyu anashindwaje kujenga nyumba ya milioni 400
Hapo lazima akunje hela mkuu
 
Hongera sana Mwijaku,naona masikini wana comment kwa hasira kama zote,

Ingekua zamani basi Mwijaku angeitwa Freemason ila sasa hivi kila mwenye mafanikio anaambiwa ni shoga!

Chuki za kipumbavu haziwezi kuumaliza umasikini wako,unamtuhumu mtu bila ushahidi wowote! Aliyefanikiwa apongezwe na wewe chuki zako ndio umasikini wako,chuki haiwezi kukupeleka popote zaidi ya kukuletea vidonda vya tumbo.
 
Kwahiyo na wewe uko tayari kupanuliwa na Waarabu upate ghorofa?

Kizazi hiki ni hasara tupu, mbele ya watu weñye akili timamu unamleta Mwijaku ndio awe role model? Kweli?

Iombe radhi JF na members wake hii ni dharau kupita kiasi.
Kijana embu wewe unae muona Mwijakimu aha akili tutpie japo picha ya chumbani unapolala
 
Back
Top Bottom