Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje

Matusi ni kipimo cha kukosa ustaarabu.

Hoja nzima haina tusi hata moja. Lakini mchangia hoja umeleta matusi.

Tujitahidi Umaskini wetu na ukosefu wa fursa za ajira usitufanye tukose ustaarabu wa kutukana tukana hovyo.
usidhani wote waliopo humu wako tayari kuwa wapumbavu,machawa na mashoga kama ulivyo wewe na huyo mwijaku wako kwa kisingizio cha ajira....
 
Kufanya kazi na watu wengi ndio ushoga?

Kazi za mwijaku zipo wazi zinaonekana.

1. Anafanya kazi media Anatangaza clouds

2. Anafanya kazi media nyingine Star times anatangaza kipindi cha Mr right

3. Anafanya ya kuigiza. Anaigiza kwenye tamthilia ya DSTV kama main character

4. Anafanya kazi ya ubalozi wa kampuni ya Silent ocean

5. Anafanya kazi na serikali kama influencer wa awamu ya 6 ya Mama Samia.

6. Anapiga dili za wafanyabiashara wengine kibao. Anatangaza bidhaa za biashara za watu wengine wengi mfano Hamidu City, kampuni ya rangi na wengineo kibao

Mtu kama huyu anashindwaje kujenga nyumba ya milioni 400
 
ikiwa hizi ndo kazi zake, ni kipi cha ajabu kwake mpaka umtumie kama mfano wa watu wasio na aibu ili wapate,...mbona kazi yake ya uchawa hujaiorodhesha hapo?...
 
Ukifuatilia utakuta ni apartment za mtu za Bnb anafanya promo tu.
Kwani ambaye anatakiwa kumiliki hela ni nani bro kwa mtazamo wako tu tuelekeze ili tuelewe
Niliwahi kumwambia mtu baba levo na mwijaku wana hela nyingi sana akagoma
Bado kwa hilo alilofanya ni dogo inawezekana yuko vizuri zaidi
Ili waendelee kupata madili mengi zaidi inabidi waendelee kujifanya maskini
Unapoonyesha kwamba unauwezo mkubwa kuna watu utakuwa unawakosa hawatokupa dili
 
Ac
Habari wadau,

Mwijaku chawa na influencer maarufu amejenga nyumba ya ghorofa kigamboni

Mwijaku anafanya kazi amazo wengi tunaona ni za aibu ila ana maisha mazuri ambayo wasomi wengi wa zama zake hawana hata nusu yake.

Mwijaku ni graduate wa university of Dar es salaam (Udsm) class of 2013 - yaani kamaliza chuo miaka kumi iliyopita

Ujumbe wangu wewe Graduates unaeona aibu kufaanya kazi yoyote itakula kwako wewe na kizazi chako

View attachment 2862148

Jiulize ni wangapi aliomaliza nao chuo ambao wanamzidi Mwijaku maisha ?

MWIJAKU SIO MVIVU ANAFANYA KAZI NYINGI SANA NDANI YA MUDA MMOJA. KOTE ANAPOKEA HELA

1. Anafanya kazi media Anatangaza clouds

2. Anafanya kazi media nyingine Star times anatangaza kipindi cha Mr right

3. Anafanya ya kuigiza. Anaigiza kwenye tamthilia ya DSTV kama main character

4. Anafanya kazi ya ubalozi wa kampuni ya Silent ocean

5. Anafanya kazi na serikali kama influencer wa awamu ya 6 ya Mama Samia.

6. Anapiga dili za wafanyabiashara wengine kibao. Anatangaza bidhaa za biashara za watu wengine wengi mfano Hamidu City, kampuni ya rangi na wengineo kibao

Mtu kama huyu anashindwaje kujenga nyumba ya milioni 400
Acha kufatilia maisha ya watu mjini.

Kila mtu anajua anavyopata pesa.

Nenda kaigize na wewe uone.
 
1. Anafanya kazi media Anatangaza clouds

2. Anafanya kazi media nyingine Star times anatangaza kipindi cha Mr right

3. Anafanya ya kuigiza. Anaigiza kwenye tamthilia ya DSTV kama main character

4. Anafanya kazi ya ubalozi wa kampuni ya Silent ocean

5. Anafanya kazi na serikali kama influencer wa awamu ya 6 ya Mama Samia.

6. Anapiga dili za wafanyabiashara wengine kibao. Anatangaza bidhaa za biashara za watu wengine wengi mfano Hamidu City, kampuni ya rangi na wengineo kibao

Mtu kama huyu anashindwaje kujenga nyumba ya milioni 400
Kwa deals hizo hashindwi. People are just judgemental.
 
Back
Top Bottom