Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje

Mzee nikipata ugonjwa na sina kitu kwani option ni hiyo moja tu ya kujifyatua na kuramba wanaume miguu.

Umaskini sio sifa mzee kama wewe unaona ni sawa na wewe fanya ujenge mjengo kama yeye.

Na pongezi mbona nimempa mkuu, hongera zake once again ila kufanya hicho afanyacho ndo siwezi.
 
FUNZO KWA MACHAWA WA LUMUMBA BUKU 7 HAITAWATOA NA ROHO MBAYA YA KUTUKANA WATU WATAISHI MAISHA YA KUPANGA MILELE

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Unauhakika niyake maana inahitaji nguvu ya ziada kumuamini chawa
 
Chumvi muhimu kwenye mboga. Wajenzi wanaikadiria thamani yake ni milioni 300
Dah yani nimefurahi baada ya kujua thamani yake ni 300m nitalala unono usiku huu. Yani mwijaku awe na nyumba ya 1.3 billion? Nilitaka kujiua asee. Kama ni million 300 imesaidia tusimeze sumu.
 
Je.? Na io nyumba anaitangaza akiwa kama influencer 😎
 
Kwahiyo na wewe uko tayari kupanuliwa na Waarabu upate ghorofa?

Kizazi hiki ni hasara tupu, mbele ya watu weñye akili timamu unamleta Mwijaku ndio awe role model? Kweli?

Iombe radhi JF na members wake hii ni dharau kupita kiasi.
Daktari... hapa unafeli mzee mwenzangu. The end will justify the means. Angekuwa kibaka tungemsema pia. Hizi tabia za kuchagua kazi kwa sababu ya usomi ndo zinatufanya masikini zaidi. Mwijaku has done well. Very well. Ndo maana wewe na mimi tunamfuatilia na kukocomment kwenye thread inayomhusu.
 
Mchawi masikini...
Huwa ana data zote za tajiri.....
 
Kwahiyo na wewe uko tayari kupanuliwa na Waarabu upate ghorofa?

Kizazi hiki ni hasara tupu, mbele ya watu weñye akili timamu unamleta Mwijaku ndio awe role model? Kweli?

Iombe radhi JF na members wake hii ni dharau kupita kiasi.
🙄🙄🙄
 
Fight for what makes you; you. Hizo ndio ndoto za kwenye maisha; sio nani kafanya nini au ka-achieve nini. Ukienda huko utaumia roho na utakuwa na wivu na watu.

Happiness inaweza kuwa na shamba la heka tano (kama ni goals ulizo set mwenyewe), ufanye kilimo cha biashara, ujenge nyumba ya kawaida na uweze hudumia familia yako katika mahitaji muhimu.

Ushauri niliowahi usikia na kuupokea kwenye maisha ni kutoka kwa ‘Steven Gerrard’ tena akiwa bwana mdogo kwenye carrer yake (in his early 20’s).

Haya ndio yalikuwa maneno yake kuhusu kupokea mshahara mkubwa kwa sababu ya mpira alipoulizwa kuhusu hela; “napenda kucheza mpira kushinda hela, na ndoto zangu za mpira ilikuwa kucheza premiership huku nikielewa ugumu wa kufika huko kwa sababu kupitia academy nimeona ndoto za watu wengi kama zangu zikikatishwa. Namshukuri mungu nimefanikisha na kazi yenyewe inanilipa mshahara mkubwa sana. Lakini hizi ndoto zingekwama mimi ni mtu ambae hata huko baadae ningekuwa nimeajiriwa kwenye admin work bado ningekuwa nacheza Sunday league football kwenye timu za mtaani kwa sababu naupenda mpira

Mwijaku au Babalevo awawezi kuwa role model ya jamii kwa sababu ya mafanikio yako; unapenda nini kufanya na definition yako ya mafanikio ni nini. Usifuate standards za wengine kama kigezo chako (what makes you happy in life).
 
Huwa nashangaa watu wanasema SANAA INALIPA BONGO. Nani humu JF analipia kazi yoyote ya msanii wa BONGO. Muziki mnasikiliza bure YouTube, na Movie zao ndio mnasema hazina viwango. Sasa Hawa wasanii pesa wao wanazitoa wapi?
Ni kazi ipi ya Mwijaku inamlipa zaidi,Matangazo ya biashara, Kutangaza Utalii? Kuimba, Movie, Au Utangazaji redioni?
 
Tusome tu kwa taratibu.
Ukitaka ushahidi itakuwa ngumu.
1. Ushahidi wa document za nyumba
2. Ushahidi wa kutoa trako
Sasa kila mmoja akileta patakalika hapa?.

Mwisho wa siku tuishie tu " yasemwayo yapo. Amejenga sawa Hongera zake. Anatoa trako . Sawa Hongera zake pia.


Naishia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…