Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje

SAWA Mwija tumekuelewa
 
JF hata ukileta thread ya kichaa Kejeri kama uliwahi kumjuwa tutamjadili pia.

Vibaka tunawajadili pia, majizi ya CCM tunayadiri, sasa Kwa nini na walioleft group wasijadiliwe?

Wakulaumiwa ni hao wanaoleta mada zao humu kutafuta attention, haya mambo yao wawe wanamaliza huko Instagram.
 
Hawa unatamani tuwachape viboko

Ova
 
Na wewe ungetupa unayoyafanya Kwa uchache Kwa kiwango chako ili uwa-motivate vijana hata kama umepata ela sio nyingi kama Mwijaku badala ya kutoa ushauri Kwa njia ya kuwapa makavu live vijana
 
Ipo mtandaoni
Acha kuchafua watu.

Kama mwijaku amejenga sababu ya vdeo yake na mwandada menina na wewe fanya tuone kama utajenga.

Acheni wivu, huna utakachobadilisha kama kweli amejenga chuki zako hazitatoa hata tofali katika hio nyumba.

Pambana
 
Kwanini unateseka kwa maisha ya mtu mwingine? Kila aliyefanikiwa mnamzushia sijui anatoa trako,siku hizi hamumsemi mtu tena kua anauza ngada au ni Freemason? Mmebadili upepo wazee wa kukaririshwa?
 
Sawa mkuu ndugu yangu
 
Kwanini unateseka kwa maisha ya mtu mwingine? Kila aliyefanikiwa mnamzushia sijui anatoa trako,siku hizi hamumsemi mtu tena kua anauza ngada au ni Freemason? Mmebadili upepo wazee wa kukaririshwa?
Wewe una ushahidi upi? Wa trako au document za nyumba?. Soma comment pita kule kila mtu na maisha yake
 
Utaka wote wafanya kazi hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…