Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje


kila kazi inalipa ukiifanya vizuri.

sanaa ya maigizo ambayo tunaiona ni upuuzi inawalipa wale wanaofanya vizuri. extra ordinary, wale wazembe haiwalipi

kila kazi inawalipa wale extraordinary. hata U Mc wa harusi wale extra ordinary kina MC Garab wametajirika.

mimi nina taaluma yangu ambayo nimeshafikia level ya kuwa extra ordinary, inanilipa vizuri, why nikaanze kujifunza kitu kipya, ambacho mpaka niwe extra ordinary inanihitaji miaka 10 mbele

Mwijaku kahitimu digrii ya sanaa ya maigizo chuo kikuu udsm mwaka 2013 yaani miaka 10 iliyopita, na kuigiza kaanza toka amemaliza chuo. ila ghorofa kalijenga mwaka jana. maana yake kuna msoto ameshaupitia wa kujaribu na kukosea kosea sana. sasa mimi sina huo muda wa kuanza kujifunza kitu kipya. umri wangu na majukumu yangu hauruhusu kupoteza miaka 10 ama mitano najifunza kitu kipya.
 
Una uhakika gani kwamba anauza utu wake

Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Mkuu,
Watanzania wengi sisi maskini huwa tunatafuta sababu ya ku comfort depression zetu kwa kuwasingizia watu waliotuzidi vitu vya uongo ili kujiweka nao katika mizani sawa.

Wonderful mtu mzima et anasema kwahyo na wewe unataka kupanuliwa? Ukimuuliza tuletee picha au vdeo za mtu huyo anabaki anatukana.

roho mbaya tu ndio zimetujaa. Mtu yupo radhi kuharibu repitation ya mtu fulani sababu tu kamzidi maendeleo.

Huwezi ukachukia wanaokuzidi halafu unataka upate mafanikio, ni aidha ujifunze kitu kutoka kwao.
 
Kama mzazi inakupasa kukuza mwanao katika standards unazotaka awe.

Baadhi ya tabia watu walizonazo zinatokana na makuzi tangu wakiwa wadogo.

Kama hukupata mzazi wa kukujenga kujiamini bila kuwa chawa wa mtu itakua ngumu sana kufanya hivyo katika umri mkubwa.

Wazazi tuwalee watoto katika njia sahihi.
 
Mpaka kufika 2030 kizaZi fulani kitakuwa kishateketea
Acha waendelee kuendekeza upuZ
Na maujinga
Ujingaujinga miaka ya hivi karibuni imepewa kipaumbele

Ova
 
Kwahiyo na wewe uko tayari kupanuliwa na Waarabu upate ghorofa?

Kizazi hiki ni hasara tupu, mbele ya watu weñye akili timamu unamleta Mwijaku ndio awe role model? Kweli?

Iombe radhi JF na members wake hii ni dharau kupita kiasi.

Jifunze kuheshimu hustle za watu au ukae kimya. Hebu na wewe tafuta muarabu atakaekupumulia kwa milioni 400+ ujenge nyumba nzuri. Mkiona wenzenu wanatimiza ndoto mlizoshindwa kutimiza mnaanza kuwapaka matope.
 
Mwijaku Hana Shughuli zozote ambazo kihalali angejenga nyumba hiyo.


Kwan wakati Kitenge anachagua Gari, Unadhan Mwijaku alichagua nn?.


Ukweli ni kwamba, Nchii hamna Cha Usanii Wala Cha matangazo, Kuna Deals haramu ziko nyuma ya celebrities wetu.

Sanaa bongo??.
 
Na wewe mtoa post anza kuuza matako utajenga kama yeye usione aibu ndugu zako watakuchukuliaje Kwa kuwa muuza tako manake utakuwa na nyumba nzuri kama huyo muuza matako unayemsifia
 
Kumbavu , ujinga anaofanya mwijaku hakyanani siwezi ufanya hata kwa bilioni.

Inabidi ukubali kua kuna vitu hata iweje huviwezi, binafsi siwezi jitweza namna ile aisee.
Hongera kwake ila kwangu sio ishu ya ndgu au jamii ila binafsi tu siwezi.

Upo serious na maisha na hakuna mahali umefika[emoji28] sasa inakusaidia nini? Leo ukipata ugonjwa mkubwa huna chochote cha thamani cha kuweka bond walau upate mkopo kwaajili ya matibabu na mambo mengine. Umasikini sio sifa. Ujinga pia sio sifa vilevile. Mwijaku anastahili pongezi. Hakuna ujinga alioufanya. Analipa kodi na anachangia kwenye maendeleo ya taifa jambo ambalo sidhani kama wewe unafanya
 
Na wewe mtoa post anza kuuza matako utajenga kama yeye usione aibu ndugu zako watakuchukuliaje Kwa kuwa muuza tako manake utakuwa na nyumba nzuri kama huyo muuza matako unayemsifia

Watu wangekua wanajenga nyumba kwa kuuza matako, James Delicious (shoga maarufu instagram) angekua na maghorofa Mbezi Beach, Posta, Osterbay na Kigamboni.
Mkiona mmeshindwa kutimiza ndoto zenu mnaanza kupaka matope walio-hustle kufanikisha ndoto zao. Ndo maana mnakufa masikini hata jeneza mpaka wanakijiji wajichange. Aibu!
 

Sanaa Tanzania imekua sana. Usifananishe sanaa ya enzi za akina sista P na sanaa ya wakati huu. Hatuishi nyakati zile za 2000 bro ambapo msanii tajiri alikua anamiliki mark II. Vijana wanatoboa kupitia kazi za sanaa kwa sasa. Wanawajengea wazazi wao nyumba nzuri pamoja na wao kujijengea nyumba nzuri. Wewe endelea kutafuta kazi za ofisini[emoji28] kuna mambo utaendelea kuona kama ni ndoto Tanzania.
 
au wewe ndio yeye mbona kama unakazia sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anazingua huyo, hata sisi pesa tunayo Boss na hatujulikani. So hizo ni hustle zake nasi tuma zetu kila mtu na zakd kikubwa maisha yaende
 
Akina delicious walikuwa wanatoa matako bure hawa akina mwijaku wamejiongeza wanauza .
Na wewe uza utatoboa kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…