MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Bro umesema upuuzi unalipa hautaki mabillion wewe? Acha kujizima data unaweza na wewe ukafanya upuuzi ukakulipa? Sio unaweka utetezi wa kuajiriwa hautaki Pesa za kujenga Ghorofa ufukweni wewe? Usituchote akili kutuambia upuuzi unalipa fanya wewe tukuone baada ya miaka 10 km kweli una uhakika na unachokisema sio unasemasema tu bila kua na vivid evidence
kila kazi inalipa ukiifanya vizuri.
sanaa ya maigizo ambayo tunaiona ni upuuzi inawalipa wale wanaofanya vizuri. extra ordinary, wale wazembe haiwalipi
kila kazi inawalipa wale extraordinary. hata U Mc wa harusi wale extra ordinary kina MC Garab wametajirika.
mimi nina taaluma yangu ambayo nimeshafikia level ya kuwa extra ordinary, inanilipa vizuri, why nikaanze kujifunza kitu kipya, ambacho mpaka niwe extra ordinary inanihitaji miaka 10 mbele
Mwijaku kahitimu digrii ya sanaa ya maigizo chuo kikuu udsm mwaka 2013 yaani miaka 10 iliyopita, na kuigiza kaanza toka amemaliza chuo. ila ghorofa kalijenga mwaka jana. maana yake kuna msoto ameshaupitia wa kujaribu na kukosea kosea sana. sasa mimi sina huo muda wa kuanza kujifunza kitu kipya. umri wangu na majukumu yangu hauruhusu kupoteza miaka 10 ama mitano najifunza kitu kipya.