Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje

Habari wadau,

Mwijaku chawa na influencer maarufu amejenga nyumba ya ghorofa kigamboni

Mwijaku anafanya kazi amazo wengi tunaona ni za aibu ila ana maisha mazuri ambayo wasomi wengi wa zama zake hawana hata nusu yake.

Mwijaku ni graduate wa university of Dar es salaam (Udsm) class of 2013 - yaani kamaliza chuo miaka kumi iliyopita

Ujumbe wangu wewe Graduates unaeona aibu kufaanya kazi yoyote itakula kwako wewe na kizazi chako

View attachment 2862148

Jiulize ni wangapi aliomaliza nao chuo ambao wanamzidi Mwijaku maisha ?

MWIJAKU SIO MVIVU ANAFANYA KAZI NYINGI SANA NDANI YA MUDA MMOJA. KOTE ANAPOKEA HELA

1. Anafanya kazi media Anatangaza clouds

2. Anafanya kazi media nyingine Star times anatangaza kipindi cha Mr right

3. Anafanya ya kuigiza. Anaigiza kwenye tamthilia ya DSTV kama main character

4. Anafanya kazi ya ubalozi wa kampuni ya Silent ocean

5. Anafanya kazi na serikali kama influencer wa awamu ya 6 ya Mama Samia.

6. Anapiga dili za wafanyabiashara wengine kibao. Anatangaza bidhaa za biashara za watu wengine wengi mfano Hamidu City, kampuni ya rangi na wengineo kibao

Mtu kama huyu anashindwaje kujenga nyumba ya milioni 400
Huyu sio mfano wa kuigwa.
 
Mtakuja kuolewa bila mahari
 
Ni Wehu, kutaka kushawishi wengine wawe kama huyu Mwijaku, kila mja anaishi kwa style yake ya kipato njia anayotumia Mwijaku hasilani ni bora niishie kwenye level yangu ya Maisha.
 
Katika watu wa hovyo wewe ni mmoja wapo.

Ukichanganya umaskini na wivu hata madaktari hawatajua nini kilikuua!

Wapi uliona kapanuliwa na waarabu?
Kama nyumba ni ya kwake kweli kwanini asiwe role model wake?

Wivu na umaskini tu.
Uko sahihi mkuu km hakuna aliyeshuhudia ukipanuliwa na waarrrrrraabu bc ni chuki tu
 
Kwahiyo na wewe uko tayari kupanuliwa na Waarabu upate ghorofa?

Kizazi hiki ni hasara tupu, mbele ya watu weñye akili timamu unamleta Mwijaku ndio awe role model? Kweli?

Iombe radhi JF na members wake hii ni dharau kupita kiasi.
Kwahiyo unataka kusema kwamba....

Aisee
 
Ukifuatilia comments nyingi humu zinaonyesha asili yetu binadamu tulio wengi tumejaa wivu na hatupendi kusikia mafanikio ya mwingine. Tunapenda kusikia habari negative kuliko positive, anyway ndio tulivyo

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hivi unaanzaje kumuonea wivu Mbwana Samatta? Kuna watu ni wajinga Sana wala hamuwajui watu waliofanikiwa.

Hivi kuna mtu hapa anaweza kumponda Fred Vunja bei?

Jifunze upya uelewe maana ya mafanikio ni nini.

Hakuna Chawa mwenye mafanikio, kuuza human dignity yako ili upate pesa hayo siyo mafanikio.
 
Kwahiyo na wewe uko tayari kupanuliwa na Waarabu upate ghorofa?

Kizazi hiki ni hasara tupu, mbele ya watu weñye akili timamu unamleta Mwijaku ndio awe role model? Kweli?

Iombe radhi JF na members wake hii ni dharau kupita kiasi.
Mkuu dogo kamjua mwija kwa juu juu ajiulize alishajua stor ya jamaa kupeleka mchango msikitini ukakataliwa? Mbona jamaa ana mambo ya ajabu sana anafanya hizo kazi alizotaja nyingi hazimpi pesa zaidi ya kuonekana mitandaoni....... Kweli aiombe jf msamaha mwijaku ni janga
 
Ukifuatilia comments nyingi humu zinaonyesha asili yetu binadamu tulio wengi tumejaa wivu na hatupendi kusikia mafanikio ya mwingine. Tunapenda kusikia habari negative kuliko positive, anyway ndio tulivyo

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kwahyo kufirwa kwako ni positive maana ndicho anachofanywa rafiki yako mwijakuwize wanaojua utamu wake ndivyo humuita
 
Habari wadau,

Mwijaku chawa na influencer maarufu amejenga nyumba ya ghorofa kigamboni

Mwijaku anafanya kazi amazo wengi tunaona ni za aibu ila ana maisha mazuri ambayo wasomi wengi wa zama zake hawana hata nusu yake.

Mwijaku ni graduate wa university of Dar es salaam (Udsm) class of 2013 - yaani kamaliza chuo miaka kumi iliyopita

Ujumbe wangu wewe Graduates unaeona aibu kufaanya kazi yoyote itakula kwako wewe na kizazi chako

View attachment 2862148

Jiulize ni wangapi aliomaliza nao chuo ambao wanamzidi Mwijaku maisha ?

MWIJAKU SIO MVIVU ANAFANYA KAZI NYINGI SANA NDANI YA MUDA MMOJA. KOTE ANAPOKEA HELA

1. Anafanya kazi media Anatangaza clouds

2. Anafanya kazi media nyingine Star times anatangaza kipindi cha Mr right

3. Anafanya ya kuigiza. Anaigiza kwenye tamthilia ya DSTV kama main character

4. Anafanya kazi ya ubalozi wa kampuni ya Silent ocean

5. Anafanya kazi na serikali kama influencer wa awamu ya 6 ya Mama Samia.

6. Anapiga dili za wafanyabiashara wengine kibao. Anatangaza bidhaa za biashara za watu wengine wengi mfano Hamidu City, kampuni ya rangi na wengineo kibao

Mtu kama huyu anashindwaje kujenga nyumba ya milioni 400
Jitihada haishindi kudra shehe, fanya ww h

Jitihada haishindi kudra shehe! Wengi tunapambana sana
 
Back
Top Bottom