GE2025 Mwijaku ajitosa ubunge jimbo la Mvomero kwa tiketi ya CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba @mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Hatua hiyo imeashiria mwanzo rasmi wa safari yake ya kisiasa katika kuwania nafasi ya Ubunge wa Mvomero.
SaveClip.App_510912990_17923963506089176_7790295654535629271_n.jpg

Source: Crown TV
 
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba @mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Hatua hiyo imeashiria mwanzo rasmi wa safari yake ya kisiasa katika kuwania nafasi ya Ubunge wa Mvomero.
View attachment 3388251
Source: Crown TV
Haaayaaa adriz mtu wenu huyo ...shahaba wa mtume mudi boy na ibilishi
 
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba @mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Hatua hiyo imeashiria mwanzo rasmi wa safari yake ya kisiasa katika kuwania nafasi ya Ubunge wa Mvomero.
View attachment 3388251
Source: Crown TV
Waluguru akili hawana
 
Leo nasikia kachukua fomu ya kuomba kugombea tena Ubunge kupitia CCM. Fomu tutampa na tutamkata!
Waislam yatawakuta yaliyo tokea rwanda ..mtakuja kutengwa mazima na hamta kuwa na utetezi kwa sababu ya ushahidi mnao utengeneza wenyewe shikeni haya maneno yangu sibahatishi kwenye ili ninalo waambia
 
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba @mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Hatua hiyo imeashiria mwanzo rasmi wa safari yake ya kisiasa katika kuwania nafasi ya Ubunge wa Mvomero.
View attachment 3388251a
Source: Crown TV
Wajumbe tafasali kuleni vyichwa wale wote waliowahi lihujumu taifa hili kwa maslahi yao na maslahi ya waliowafanyia uchawa.Tanzania sii yetu pekee,ni ya wa jukuu,vitukuuu,na ya wajukuu wa wajukuu wetu na vitukuu wetu.Tusifanye makosa katika hili tunaelekezwa enzi ya ukoloni kwa mara nyingine na utumwa kwa mara nyingine.Tanzania kwanza watu na maslahi yao binafsi baadaye.
 
Waislam yatawakuta yaliyo tokea rwanda ..mtakuja kutengwa mazima na hamta kuwa na utetezi kwa sababu ya ushahidi mnao utengeneza wenyewe shikeni haya maneno yangu sibahatishi kwenye ili ninalo waambia
Tuliishachoka zamaaaaaani na vitisho vyenu vya maneno. Anzeni sasa vitendo, lakini kaa ukijua "you're watched"!
 
Back
Top Bottom