GE2025 Mwijaku ajitosa ubunge jimbo la Mvomero kwa tiketi ya CCM

GE2025 Mwijaku ajitosa ubunge jimbo la Mvomero kwa tiketi ya CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tuliishachoka zamaaaaaani na vitisho vyenu vya maneno. Anzeni sasa vitendo, lakini kaa ukijua "you're watched"!
Hakuna watu waoga na wa ovyo kushikamana nao kwenye jambo hata la heri kama waislamu...kwanza wana abudu mabeberu na waarabu ...na kwa uoga wao walipo mpata nyerere walimsakizia kama chambo kupigania uhuru walijua chambo italiwa na samaki .kama wangejua nyerere atafanikisha na kuwa rais wasinge mkubali wangejiteua waislamu wenzao
 
Hakuna watu waoga na wahovyo kushikamana nao kwenye jambo hata la heri kama waislamu...kwanza wana abudu mabeberu na waarabu ...na kwa uoga wao walipo mpata nyerere walimsakizia kama chambo kupigania uhuru walijua chambo italiwa na samaki .kama wangejua nyerere atafanikisha na kuwa rais wasinge mkubali wangejiteua waislamu wenzao
Hao pambana nao mwenyewe. Mimi ni muumini wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume. Nina Sakramenti zote tano; bado Moja ya Mpako Mtakatifu wa Wagongwa. Ya Upadrisho siwezi kupata maana mimi ni mlei. Kanisa langu haliniruhusu kuzisema vibaya dini za wengine.

Ila kwenye CCM, Serikali na Mama Tanzania, nakusubiri kwa hamu!!
 
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba @mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Hatua hiyo imeashiria mwanzo rasmi wa safari yake ya kisiasa katika kuwania nafasi ya Ubunge wa Mvomero.
View attachment 3388251
Source: Crown TV
Kuna wakati bunge litakuwa na sifa ya DEBATE za sekondari government schools, education is better than money. Naliona linazdi kuwa na watu wa ovyo sana ndani yake. Mara 100 wachague vichwa nguli kutoka jf lakini si hawa
 
Chawa mkuu mvomero anaweza kushinda huyu mjuba, ila chawa mwenzake (assistant chawa) baba levo kule kigoma atachemka kwa serukamba
 
Kila aina ya mtu wanapata hizo nafasi
Mtajionea wenyewe bunge litakavyokuwa
 
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba @mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Hatua hiyo imeashiria mwanzo rasmi wa safari yake ya kisiasa katika kuwania nafasi ya Ubunge wa Mvomero.
View attachment 3388251
Source: Crown TV
Hii ni dharau kwa bunge. Maana lime onekana kama jumba la sanaa..
 
Hao pambana nao mwenyewe. Mimi ni muumini wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume. Nina Sakramenti zote tano; bado Moja ya Mpako Mtakatifu wa Wagongwa. Ya Upadrisho siwezi kupata maana mimi ni mlei. Kanisa langu haliniruhusu kuzisema vibaya dini za wengine.

Ila kwenye CCM, Serikali na Mama Tanzania, nakusubiri kwa hamu!!
Ukatoliki na uislamu ni upotovu ule ule
 
Back
Top Bottom