Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Bila kusahau nyumba ya GSM kule Kigamboni sijui wapiHahah mkiambiwa mtoke mikoani mje mjini hamtaki[emoji28] Nyumba ya marehemu Mchungaji Rwakatare umeiona? Nyumba ya Askofu Kakobe? Vipi nyumba ya Nabii Goe Davie? Nyumba za Lugumi?
Haya basi tafuta nyumba ya Doreen aliyefanyiwa sendoff juzijuzi ambaye alipewa zawadi na Baba yake Bilionea Tarimo. Nyumba ipo Shanti Town, Moshi.
Watu wanaichukulia poa B et!!Hii nyumba hata 500 m haifiki kwa ujenz upi wa kufika b anataka misifa tu anaijua b 1 ilivyo
Hivi nyumba ya Peter Msechu Iko WapiKwenye akaunti ya Instagram ya Msechu ameweka mwonekano wa nje wa nyumba yake.....kwamwambia Mwijaku akatafute watu wakufanya finishing ......lakini mchechu katika video yake unasikia ndege wakilia means amepanda miti kwake na anazo garden zakuvuta oxygen
Nyumba ya Mwijaku inakosa garden, inakosa uoto wa asili na haina privacy kwani imebanwa kwenye kiwanja kidogo
Yani Mwijaku apate bilion hivi nyie bilion Moja mnadhani ni matako !
Ana enforcement ipi ya kumpa hiyo Hela hebu itaje hapa
Haha Na ya Aristote jeMwijaku naye kazidi sifa Mara bilioni tatu Mara bil 1.3 sijui tushike lipi
Bado nyumba ya msechu itabaki kuwa no 1
Mwijaku yeye alitaka tu kutimiza ndoto yake kujenga gorofa ila finishing yake ya kawaida tu
Hongera zake lakini ameupiga mwingi
porojoKiwanja kiwanja kiwanja!! Ndio wimbo wangu wa kwanza kabla ya yote.
Haijalishinkiko wapi, lakin nilikataa kujenga nyumba yangu kwenye tuviwanja twa sijui 40x50 and the likes!!. I nilishasema nitajenga nikipata eneo la ekari 1...baadae sana baad ya kujenga kuna mtu (mob saikoloji) ikanikupa nikanunua pia kiwanja cha 20 x 20, aisee sijawahigi kurud mpaka leo toka nimelipia almost 2 years now...kila nikikiwaza nachukia kabisaa
Ile pia nzuriHaha Na ya Aristote je
Pole..Hedex zinasaidia mkuuporojo
kunywa wewe unaye ota kumiliki nyumba ndani ya hekari mbili na porojo zako za kuacha kiwanja cha 20 kwa 20Pole..Hedex zinasaidia mkuu
Bora umefurahiUmenifurahisha sana
Na ya marehemu Mengi kule maporini.Bila kusahau nyumba ya GSM kule Kigamboni sijui wapi
Nyumba yake naifahamu mkuu, ila sijui iko wapi ndio nimeuliza, picha kwangu hazifunguki nitajie tu mahali alikojenga
Labda wakati inajengwa hakujua,amekuja kujua baadae baada ya kujengwa.Asilimia 99%, hapa Tanzania hatupendani... Umesubili nyumba iishe kujengwa, alafu ndo uje kubwabwaja hapa jukwani?.
Kheri ya mwaka mpya piaBora umefurahi
Heri ya mwaka mpya dear