Mwijaku alishindwa nini kununua kiwanja kinachoendana na mipango yake ya ujenzi? Kampuni ya ujenzi ilishindwa kumshauri?

Mwijaku alishindwa nini kununua kiwanja kinachoendana na mipango yake ya ujenzi? Kampuni ya ujenzi ilishindwa kumshauri?

Mleta uzi umeongea hoja ya msingi sana japokuwa Kuna wadau naona wanakunanga.

Kimsingi Kuna changamoto kubwa sana Kwa mamlaka zinazohusika na utoaji wa vibali hada kwenye marneo ambayo yanatumika mchangantiko yaani nyumba za ghorofa na chini. Kwani Kuna issue ya privacy pia inahitaji kuzingatiwa na ndio maana eneo linatakiwa Lowe kubwa na nyumba ikijengwa kiasi kwamba usiweze kuona ndani ya uzio wa mwenzio.
 
Hahah mkiambiwa mtoke mikoani mje mjini hamtaki[emoji28] Nyumba ya marehemu Mchungaji Rwakatare umeiona? Nyumba ya Askofu Kakobe? Vipi nyumba ya Nabii Goe Davie? Nyumba za Lugumi?

Haya basi tafuta nyumba ya Doreen aliyefanyiwa sendoff juzijuzi ambaye alipewa zawadi na Baba yake Bilionea Tarimo. Nyumba ipo Shanti Town, Moshi.
Bila kusahau nyumba ya GSM kule Kigamboni sijui wapi
 
Kwenye akaunti ya Instagram ya Msechu ameweka mwonekano wa nje wa nyumba yake.....kwamwambia Mwijaku akatafute watu wakufanya finishing ......lakini mchechu katika video yake unasikia ndege wakilia means amepanda miti kwake na anazo garden zakuvuta oxygen

Nyumba ya Mwijaku inakosa garden, inakosa uoto wa asili na haina privacy kwani imebanwa kwenye kiwanja kidogo
Hivi nyumba ya Peter Msechu Iko Wapi
 
Yani Mwijaku apate bilion hivi nyie bilion Moja mnadhani ni matako !


Ana enforcement ipi ya kumpa hiyo Hela hebu itaje hapa

Cha msingi ujiulize ana endorsements ngapi na hakuna endorsement ya makampuni kwa celebrity mkubwa itakayotoka kwa 5m brother..

Uzuri pia 1B mimi sina ila najua ni milion 100 kumi, milioni kumi 100, milioni 1 1000

Kwa celebrity aliye serious na akawa hana show offs, naamini hiyo pesa anaweza kupata.

Ni imani yangu tu mkuu
 
Mwijaku naye kazidi sifa Mara bilioni tatu Mara bil 1.3 sijui tushike lipi

Bado nyumba ya msechu itabaki kuwa no 1
Mwijaku yeye alitaka tu kutimiza ndoto yake kujenga gorofa ila finishing yake ya kawaida tu

Hongera zake lakini ameupiga mwingi
Haha Na ya Aristote je
 
Hivi nyumba ya Peter Msechu Iko Wapi
Hii hapa Jadda pinkett 😀
images.jpeg

images.jpeg
 
Kiwanja kiwanja kiwanja!! Ndio wimbo wangu wa kwanza kabla ya yote.
Haijalishinkiko wapi, lakin nilikataa kujenga nyumba yangu kwenye tuviwanja twa sijui 40x50 and the likes!!. I nilishasema nitajenga nikipata eneo la ekari 1...baadae sana baad ya kujenga kuna mtu (mob saikoloji) ikanikupa nikanunua pia kiwanja cha 20 x 20, aisee sijawahigi kurud mpaka leo toka nimelipia almost 2 years now...kila nikikiwaza nachukia kabisaa
porojo
 
 
Back
Top Bottom