Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Jamaa mmoja hivi, anavaa vinguo vya kumbana kila mahali kama mwanamke...Kwani mwikaju ndio nani huku mjini Daslamu Smart??🤔😁???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa mmoja hivi, anavaa vinguo vya kumbana kila mahali kama mwanamke...Kwani mwikaju ndio nani huku mjini Daslamu Smart??🤔😁???
Naungana na wewe na kusisitiza yafuatayo. Vijana wa sasa hata waze tunatakiwa kubadilika. Kujenga majumba makubwa sio ufahari. Mwisho wake huwa hayatumiki. Nenda mbezi beach kuna mijengo inaota nyasi na kupangishwa kwa hela ndogo ili walao kuwe na watu ndani.
Kama kweli katumia 1.2bn (ingawa siamini). Angeweka fedha hizo benki angepata 120m kila mwaka. Angewaambia benki kwa miaka 3. Badala ya kumpa 360m wampe 300m tu. Angejenga nyumba nzuri sana kwa 300m. Tena kwa kununua kiwanja kizuri sana kwa 100m. Nyumba ingekamilika. 1.2bn ingebaki palepale benki na yumba angepata.
Si hivyo tu. Angejenga hoteli imzalishie. Vijana wa sasa tubadilike. Kufukia 1.2bn kwa nyumba ya kuishi ni ufahari wa muda tu.
Kwa nyumba hiyo umeme ni 300,000 kwa mwezi. Mengine je.
Asante kwa mwongozo boss!Jamaa mmoja hivi, anavaa vinguo vya kumbana kila mahali kama mwanamke...
Umemaliza. Well said! Tatizo kubwa wengi wetu ni financial illiteracy. Mpaka sasa kuja kuamka, woiii....Naungana na wewe na kusisitiza yafuatayo. Vijana wa sasa hata waze tunatakiwa kubadilika. Kujenga majumba makubwa sio ufahari. Mwisho wake huwa hayatumiki. Nenda mbezi beach kuna mijengo inaota nyasi na kupangishwa kwa hela ndogo ili walao kuwe na watu ndani.
Kama kweli katumia 1.2bn (ingawa siamini). Angeweka fedha hizo benki angepata 120m kila mwaka. Angewaambia benki kwa miaka 3. Badala ya kumpa 360m wampe 300m tu. Angejenga nyumba nzuri sana kwa 300m. Tena kwa kununua kiwanja kizuri sana kwa 100m. Nyumba ingekamilika. 1.2bn ingebaki palepale benki na yumba angepata.
Si hivyo tu. Angejenga hoteli imzalishie. Vijana wa sasa tubadilike. Kufukia 1.2bn kwa nyumba ya kuishi ni ufahari wa muda tu.
Kwa nyumba hiyo umeme ni 300,000 kwa mwezi. Mengine je.
jamaa yuko sahihi, majumba mengi mbezi beach africana road huku kilongawima hayana watuMbezi Beach ipi hiyo, mkuu.
$400,000 unapata mansion kali Miami sio huo uchafu wa mwijakuJibu linaweza kuwa ndio au hapana kwasababu hatujui ndani kaweka facilities gani,katumia vifaa gani kwenye finishing.
1b ni kama $400,000 hivi ni nyingi lakini ukiamua kuimaliza kwemye ujenzi unamaliza.
Mimi jobless Kaka, plus niko team ya sijengi - na siku niki Jenga ujue ni ka castle flani hivi🤒😀Kama unataka nikuuzie lets talk
Ni kweli ila sio kila mtu anataka kuishi Miami$400,000 unapata mansion kali Miami sio huo uchafu wa mwijaku
🙌🏿🙌😂😂Hizo appartment mpya zinapangishwa.View attachment 2863450
Mwinjaku alishirikisha hadharani kwamba anataka kujenga nyumba ya aina flani kwa kiasi fulani?Asilimia 99%, hapa Tanzania hatupendani... Umesubili nyumba iishe kujengwa, alafu ndo uje kubwabwaja hapa jukwani?.
Aaahjh jenga yako yeye amemaliza achana na porojoWatanzania tunapaswa kubadili mawazo na fikra zetu hasa katika kufukia fedha kwenye ujenzi. Tuna watu wengi wanakosea kujenga kwa kukosa mawazo sahihi au exposure. Tafsi ya nyumba siyo mpangilio wa tofali bali ni muunganiko wa ramani na mazingira ya nje.
Viwanja vya masaki na osterbay vinaweza kuwa kielelezo cha fikra za ujenzi zinavyotakiwa kuwa. Alichofanya mwijaku na kampuni aliyowapa kazi ni aibu kwa karne hii.
Unapoweka malengo yakujenga nyumba hasa ghorofa unapaswa kuanza kuwaza kiwanja, eneo kiwanja kilipo na majirani wanaokuzunguka.
Unapotenga bilion moja ya ujenzi tunategemea kiwanja kitengeewe si chini ya milioni mia na hamsini endapo unataka kupata kiwanja mjini. Jengo la bilioni moja kibongo bongo linapaswa kujengwa kwenye eneo la heka moja endapo utajenga kigamboni ambapo maeneo ni makubwa.
Waliomshauri na kumjengea Mwijaku ndio washauri wa NHC, ambao wanajenga nyumba Tanzania kwenye kiwanja cha Sqmt 200 au 400 kwenye jiji kama Dodoma ambalo linakuwa . Poverty mentality ya wataalam wa ardhi wa nchi imepelekea watu kujenga kwa gharama kubwa lakini hawana uwezo wakupaki magari ishirini au kuwaalika marafiki nyumbani. Unakuwa na nyumba kama ya mwijaku lakini ukialika marafiki mia kuja kwako unalazimika ukatafute ukumbi. Leo Mwijaku akitazama chini akiwa ghorofani anawachungulia majirani.
Nyumba kama ile ingejengwa kwenye eneo sahihi hata wafanyakazi wenzake wangetuonyesha garden ya nje na wangepiga picha hata mandhari ya kwenda kwa huyu mjuba.
Nakubali kwamba tunanunua viwanja tukiwa hatujui tunajenga nini ila tunapochora ramani ya nyumba kama ile tutafute kiwanja. Alishindwa nini kwenda kujenga mbweni huko au bagamoyo ?
Nampongeza na niwapongeze wote wenye maono kama yake ila tubadili fikra tuje na maeneo ya uzunguni ambapo tukitaka kutembelea tunakuta miundombinu hata ya usalama ipo sawa.
Povu lazima
Bongo hakuna nyumba ya kuishi yenye thamani ya billio
inategemea uko wapi mfano ploti ikO Karibu na Daraja la Mbweni Ukubwa wa plot niQM 2500 bei ya qm 1650,000 Nyumba ya gorofa mbili
Hakuna benki yaweza riba ya 120m kwa mwaka kwa kuwekeza 1.2b, haipo kabisa.Naungana na wewe na kusisitiza yafuatayo. Vijana wa sasa hata waze tunatakiwa kubadilika. Kujenga majumba makubwa sio ufahari. Mwisho wake huwa hayatumiki. Nenda mbezi beach kuna mijengo inaota nyasi na kupangishwa kwa hela ndogo ili walao kuwe na watu ndani.
Kama kweli katumia 1.2bn (ingawa siamini). Angeweka fedha hizo benki angepata 120m kila mwaka. Angewaambia benki kwa miaka 3. Badala ya kumpa 360m wampe 300m tu. Angejenga nyumba nzuri sana kwa 300m. Tena kwa kununua kiwanja kizuri sana kwa 100m. Nyumba ingekamilika. 1.2bn ingebaki palepale benki na yumba angepata.
Si hivyo tu. Angejenga hoteli imzalishie. Vijana wa sasa tubadilike. Kufukia 1.2bn kwa nyumba ya kuishi ni ufahari wa muda tu.
Kwa nyumba hiyo umeme ni 300,000 kwa mwezi. Mengine je.
Una uhakika na unachokisema au nikupeleke mahali ukashangae kidogo Mkuu.?Bongo hakuna nyumba ya kuishi yenye thamani ya billioni 1