Mwijaku alishindwa nini kununua kiwanja kinachoendana na mipango yake ya ujenzi? Kampuni ya ujenzi ilishindwa kumshauri?

Naungana na wewe na kusisitiza yafuatayo. Vijana wa sasa hata waze tunatakiwa kubadilika. Kujenga majumba makubwa sio ufahari. Mwisho wake huwa hayatumiki. Nenda mbezi beach kuna mijengo inaota nyasi na kupangishwa kwa hela ndogo ili walao kuwe na watu ndani.
Kama kweli katumia 1.2bn (ingawa siamini). Angeweka fedha hizo benki angepata 120m kila mwaka. Angewaambia benki kwa miaka 3. Badala ya kumpa 360m wampe 300m tu. Angejenga nyumba nzuri sana kwa 300m. Tena kwa kununua kiwanja kizuri sana kwa 100m. Nyumba ingekamilika. 1.2bn ingebaki palepale benki na yumba angepata.

Si hivyo tu. Angejenga hoteli imzalishie. Vijana wa sasa tubadilike. Kufukia 1.2bn kwa nyumba ya kuishi ni ufahari wa muda tu.
Kwa nyumba hiyo umeme ni 300,000 kwa mwezi. Mengine je.

Constructive idea, ongeza kikombe cha kahawa hapo ulipo [emoji1547]
 
Umemaliza. Well said! Tatizo kubwa wengi wetu ni financial illiteracy. Mpaka sasa kuja kuamka, woiii....
 
Hizo appartment mpya zinapangishwa.
Screenshot_20240106_122253_Instagram.jpg
 
Watanzania tunapaswa kubadili mawazo na fikra zetu hasa katika kufukia fedha kwenye ujenzi. Tuna watu wengi wanakosea kujenga kwa kukosa mawazo sahihi au exposure. Tafsi ya nyumba siyo mpangilio wa tofali bali ni muunganiko wa ramani na mazingira ya nje.

Viwanja vya masaki na osterbay vinaweza kuwa kielelezo cha fikra za ujenzi zinavyotakiwa kuwa. Alichofanya mwijaku na kampuni aliyowapa kazi ni aibu kwa karne hii.

Unapoweka malengo yakujenga nyumba hasa ghorofa unapaswa kuanza kuwaza kiwanja, eneo kiwanja kilipo na majirani wanaokuzunguka.

Unapotenga bilion moja ya ujenzi tunategemea kiwanja kitengeewe si chini ya milioni mia na hamsini endapo unataka kupata kiwanja mjini. Jengo la bilioni moja kibongo bongo linapaswa kujengwa kwenye eneo la heka moja endapo utajenga kigamboni ambapo maeneo ni makubwa.

Waliomshauri na kumjengea Mwijaku ndio washauri wa NHC, ambao wanajenga nyumba Tanzania kwenye kiwanja cha Sqmt 200 au 400 kwenye jiji kama Dodoma ambalo linakuwa . Poverty mentality ya wataalam wa ardhi wa nchi imepelekea watu kujenga kwa gharama kubwa lakini hawana uwezo wakupaki magari ishirini au kuwaalika marafiki nyumbani. Unakuwa na nyumba kama ya mwijaku lakini ukialika marafiki mia kuja kwako unalazimika ukatafute ukumbi. Leo Mwijaku akitazama chini akiwa ghorofani anawachungulia majirani.

Nyumba kama ile ingejengwa kwenye eneo sahihi hata wafanyakazi wenzake wangetuonyesha garden ya nje na wangepiga picha hata mandhari ya kwenda kwa huyu mjuba.

Nakubali kwamba tunanunua viwanja tukiwa hatujui tunajenga nini ila tunapochora ramani ya nyumba kama ile tutafute kiwanja. Alishindwa nini kwenda kujenga mbweni huko au bagamoyo ?

Nampongeza na niwapongeze wote wenye maono kama yake ila tubadili fikra tuje na maeneo ya uzunguni ambapo tukitaka kutembelea tunakuta miundombinu hata ya usalama ipo sawa.

Povu lazima
Aaahjh jenga yako yeye amemaliza achana na porojo
 
Bongo hakuna nyumba ya kuishi yenye thamani ya billio
inategemea uko wapi mfano ploti ikO Karibu na Daraja la Mbweni Ukubwa wa plot niQM 2500 bei ya qm 1650,000 Nyumba ya gorofa mbili
 
Naungana na wewe na kusisitiza yafuatayo. Vijana wa sasa hata waze tunatakiwa kubadilika. Kujenga majumba makubwa sio ufahari. Mwisho wake huwa hayatumiki. Nenda mbezi beach kuna mijengo inaota nyasi na kupangishwa kwa hela ndogo ili walao kuwe na watu ndani.
Kama kweli katumia 1.2bn (ingawa siamini). Angeweka fedha hizo benki angepata 120m kila mwaka. Angewaambia benki kwa miaka 3. Badala ya kumpa 360m wampe 300m tu. Angejenga nyumba nzuri sana kwa 300m. Tena kwa kununua kiwanja kizuri sana kwa 100m. Nyumba ingekamilika. 1.2bn ingebaki palepale benki na yumba angepata.

Si hivyo tu. Angejenga hoteli imzalishie. Vijana wa sasa tubadilike. Kufukia 1.2bn kwa nyumba ya kuishi ni ufahari wa muda tu.
Kwa nyumba hiyo umeme ni 300,000 kwa mwezi. Mengine je.
Hakuna benki yaweza riba ya 120m kwa mwaka kwa kuwekeza 1.2b, haipo kabisa.
 
Back
Top Bottom