Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Isije baadae tukaambiwa ni mjengo wa kigogo fulani, ile ilikuwa promo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee! 20x20 kazi kwelikweli.Ndiyo maana akaamua kupachik jumba la 2 b huko uswekeni Kigamboni kwenye kiwanja cha 20 kwa 20. Jinga kabisa.
Iyo ya ngurumo ya upakoBongo hakuna nyumba ya kuishi yenye thamani ya billioni 1
Miami ya hapa US ama huko Bongo pia Kuna Miami?$400,000 unapata mansion kali Miami sio huo uchafu wa mwijaku
Mbona Mwijaku ndiyo katuonesha kuwa ni nyuma yake? Na alisamama na mkewe hapo!Hizo appartment mpya zinapangishwa.View attachment 2863450
Anongelea bond mkuu. Ambapo huwa ni asilimia 10-12 kwa mwaka. Sasa piga 10% ya 1.2b ni sh ngapi?Hakuna benki yaweza riba ya 120m kwa mwaka kwa kuwekeza 1.2b, haipo kabisa.
Muha Kasema YakeMbona Mwijaku ndiyo katuonesha kuwa ni nyuma yake? Na alisamama na mkewe hapo!
Lete Maneno........Anongelea bond mkuu. Ambapo huwa ni asilimia 10-12 kwa mwaka. Sasa piga 10% ya 1.2b ni sh ngapi?
Akikuuzia nitag MkuuKiko wapi?Kama unakichukia nnaomba uniuzie[emoji120]
Ni swali zuri sana. "We unayo?" Kama unayo na inafanana na ushauri unaotoa ni rahisi kuaccept challenge yako kama huna uwezekano kuwa una wivu ni mkubwa.Webongo wengi ukiwashauri utasikia we unayo, mchawi, wivu nk. Hawawezi kupokea ushauri au challenge kama watu wazima. Bado wabongo wengi wana akili za kitoto. Namaanisha wabongo wengi wamekomaa miili ila akili zao wengi za kitoto.
Tayari yametimia maneno yako!Isije baadae tukaambiwa ni mjengo wa kigogo fulani, ile ilikuwa promo tu.
tembea brazaBongo hakuna nyumba ya kuishi yenye thamani ya billioni 1
Yaani hapo maswali mengi sana,watu 100+?Watu 100 wanakuja kwako kufanya nn? Kucheza kigodoro au mdumange
Siwezi kuwa na 300M nikajenga kwny eneo lenye chini ya nusu hekaWatanzania tunapaswa kubadili mawazo na fikra zetu hasa katika kufukia fedha kwenye ujenzi. Tuna watu wengi wanakosea kujenga kwa kukosa mawazo sahihi au exposure. Tafsi ya nyumba siyo mpangilio wa tofali bali ni muunganiko wa ramani na mazingira ya nje.
Viwanja vya masaki na osterbay vinaweza kuwa kielelezo cha fikra za ujenzi zinavyotakiwa kuwa. Alichofanya mwijaku na kampuni aliyowapa kazi ni aibu kwa karne hii.
Unapoweka malengo yakujenga nyumba hasa ghorofa unapaswa kuanza kuwaza kiwanja, eneo kiwanja kilipo na majirani wanaokuzunguka.
Unapotenga bilion moja ya ujenzi tunategemea kiwanja kitengeewe si chini ya milioni mia na hamsini endapo unataka kupata kiwanja mjini. Jengo la bilioni moja kibongo bongo linapaswa kujengwa kwenye eneo la heka moja endapo utajenga kigamboni ambapo maeneo ni makubwa.
Waliomshauri na kumjengea Mwijaku ndio washauri wa NHC, ambao wanajenga nyumba Tanzania kwenye kiwanja cha Sqmt 200 au 400 kwenye jiji kama Dodoma ambalo linakuwa . Poverty mentality ya wataalam wa ardhi wa nchi imepelekea watu kujenga kwa gharama kubwa lakini hawana uwezo wakupaki magari ishirini au kuwaalika marafiki nyumbani. Unakuwa na nyumba kama ya mwijaku lakini ukialika marafiki mia kuja kwako unalazimika ukatafute ukumbi. Leo Mwijaku akitazama chini akiwa ghorofani anawachungulia majirani.
Nyumba kama ile ingejengwa kwenye eneo sahihi hata wafanyakazi wenzake wangetuonyesha garden ya nje na wangepiga picha hata mandhari ya kwenda kwa huyu mjuba.
Nakubali kwamba tunanunua viwanja tukiwa hatujui tunajenga nini ila tunapochora ramani ya nyumba kama ile tutafute kiwanja. Alishindwa nini kwenda kujenga mbweni huko au bagamoyo ?
Nampongeza na niwapongeze wote wenye maono kama yake ila tubadili fikra tuje na maeneo ya uzunguni ambapo tukitaka kutembelea tunakuta miundombinu hata ya usalama ipo sawa.
Povu lazima
Sio ile ya Mwijaku, taa za ndani tu Mil. 7, taa za nje ya ukuta eti mil 8Ahahah kwann mkuu..watu wana maisha mzee..hiy 1b ni plot tu bado hajajenga
Sio Dar tu hata mikoani watu wanamajumba kufuru!Mjomba uko dar hii au mkoani?
Dp word hiyoooo.Ipo
Ya Mwijaku ni 1.2 Bilioni na imejengwa kwa miezi kumi tu.....
Hahahaha Yeye anajua Dar ndo kila kitu!Nimemsikiliza maelezo yake, nikagundua Mwijaku bado ana ushamba wa Kigoma.
Anadai alipata ardhi kubwa Bagamoyo (kama ekari 2) lkn eti akaona hati ya nyumba yake itasoma Pwani. Yeye alitaka isomeke Dar.
Ndiyo maana akaamua kupachik jumba la 2 b huko uswekeni Kigamboni kwenye kiwanja cha 20 kwa 20. Jinga kabisa.