Nipo nae najitafunia mdogo mdogo tupo low profileHivi yule dada alipoteaga wapi?
Sjawahi kukutana nae meninah siku nkikutana nae ntajitoa kimasomasoNipo nae najitafunia mdogo mdogo tupo low profile
kuwa na adabu!Sjawahi kukutana nae meninah siku nkikutana nae ntajitoa kimasomaso
Hongera mkuu, toto nzuri lile, jeupe peNipo nae najitafunia mdogo mdogo tupo low profile
ananiimbia tu hapa!..Hongera mkuu, toto nzuri lile, jeupe pe
Na kana sauti Nyororoananiimbia tu hapa!..
inatosha kalale sasa mkuu...😂Na kana sauti Nyororo
Kumbe wale waliokuwa wanamgombania ni wa kitambaa cheupe siyo wanafunzi wa chuo!Mwanaume anayesambaza picha za utupu za mpenzi wake,hana akili.
Kushinda ile kesi haimaanishi hakufanya,mahakama zetu tunazijua
Ukiangalia matwndo yake tu unajua Mwijaku amekulia makuzi ya kuunga unga sana anajifariji kuponya vidonda vya utotoni
Toto zuri kama lile mwijaku akariharibia maisha mpaka anekonda na hapati tena dili za u MC