Mkuu mi naamini yule mke wa mwijako sio mjinga ana mahesabu kuna siku isiyo na jina kitaumana. Kuna watu ukiwatazama tuu unapata jibu. Hapo kwa menina kiukweli inasikitisha sana na kwa mdomo alionao mwijako sidhani kama anaweza kugawa dozi japo hataMkewe na yeye chizi ,mtu una kazi yako nzuri tu ya bank ,jitu ambalo halijielewi kutembea na malaya tu halafu linakupaka mafuta kwa mogongop wa chupa na yeye lipo limetulia ,file for divorce mgawane jumba ufanye maisha yako ,jinsi anavyoichapisha nje sijui kama mzima maana menina na yeye ana skendo ya ngoma.
Kakimbia DaslamTangaaa
Kalikuwa ka MC, sijui kama bado anaendelea na u MCMwijaku msengerema alimuharibia maisha yule dada ila nimeapa nikipata namba take lazima nimuombe nimuoe
Tafadhali usisahau Kunitag.Siku nikiamka vizuri nitawapa a-z ya ilivyokuwa hadi yakatokea hayo ya picha za utupu.
Inasikitisha sana!
Mchaga nasikia,kuna siku atadai talaka watagawana pasu kwa pasuMkuu mi naamini yule mke wa mwijako sio mjinga ana mahesabu kuna siku isiyo na jina kitaumana. Kuna watu ukiwatazama tuu unapata jibu. Hapo kwa menina kiukweli inasikitisha sana na kwa mdomo alionao mwijako sidhani kama anaweza kugawa dozi japo hata
2 x weeks 🤣
Toka jumapili mpaka Leo natumai umeshatulia vya kutosha.Siku nikiamka vizuri nitawapa a-z ya ilivyokuwa hadi yakatokea hayo ya picha za utupu.
Inasikitisha sana!
Watu Kwa kujilipua hawajambo, yaani video Iko mitandaoni unapakuliwa nikuoe kisha nikupe heshima ya mke kweli? Hapana aiseeView attachment 3310440mbona yuko tu vizuri naona aliamua kukaa mbali na media....japo ana bahati ya kuolewa huyu dada. Nakumbuka ndoa yake ya kwanza aliolewa na kijana wa sospeter muhongo sijui, wakaja kuachana akaolewa na shombe flani ivi wakaachana ndo connection na mwijaku ikatoka, kakaa kidogo akaolewa tena na jamaa huyo
Muache acheze na auditor kama hajarudi kigoma akachambue maweseMchaga nasikia,kuna siku atadai talaka watagawana pasu kwa pasu
Wewe na mimi tupo hivi 🫰🫰🫰 pamoja ...Sawa ni mpuuzi mjinga Hana akili je umeshafikiria unaingiza kisa gan kinachomzid huyo mpuuz mwijaku😀
Asa long as anaingiza pesa zake kihalali na kuishi maisha mazur kwakwel I salute him sema Sina kipawa Cha kupiga kelele na kuongea ovyo ningekuwa nacho nisingefikiria mara mbili kutengeneza pesa Kwa mdomo mbona ingekua kazi yangu😂
Wahi kabla hakujapoa bbySiku nikiamka vizuri nitawapa a-z ya ilivyokuwa hadi yakatokea hayo ya picha za utupu.
Inasikitisha sana!
Ndoa nyingi zishajifia unaweza shakaa hata tendo hawashirikiMkewe na yeye chizi ,mtu una kazi yako nzuri tu ya bank ,jitu ambalo halijielewi kutembea na malaya tu halafu linakupaka mafuta kwa mogongop wa chupa na yeye lipo limetulia ,file for divorce mgawane jumba ufanye maisha yako ,jinsi anavyoichapisha nje sijui kama mzima maana menina na yeye ana skendo ya ngoma.
Hivyo si cheap vya kula nyumaHalafu videmu venyewe vya chuo yaani ashakum si matusi vipo low standard ,havina mvuto kabisa ndiyo anavigonga ,anamdhalilisha mkewe.
Kama Mndeme aka Midfielder kisheti wa kwenye DUNIA, mzee wa kujipigia pasi zake😄Ndoa nyingi zishajifia unaweza shakaa hata tendo hawashiriki
atakua kumi na ngp?Mwijaku msengerema alimuharibia maisha yule dada ila nimeapa nikipata namba take lazima nimuombe nimuoe
huwa najiuliza kwa nn wanaume wajinga wenye akili za kitoto ndio upata wanawake wavumilivu?2Mwijaku anakigombna na yule mchaga wake ,wakipiga pasu mali basi mtamsahau ... Wametoka mbali sana na yule ana mchango mkubwa kwenye mafanikio yake.
Sababu wanawake wavumilivu wanapenda wanaume wajinga wenye akili za kitoto😆huwa najiuliza kwa nn wanaume wajinga wenye akili za kitoto ndio upata wanawake wavumilivu?2