Mwijaku alivyosambaza picha za utupu za Menina nikajua hana akili

Mwijaku alivyosambaza picha za utupu za Menina nikajua hana akili

Dada wa watu anatia huruma sana
Screenshot_20250420-192148_Instagram.jpg
mbona yuko tu vizuri naona aliamua kukaa mbali na media....japo ana bahati ya kuolewa huyu dada. Nakumbuka ndoa yake ya kwanza aliolewa na kijana wa sospeter muhongo sijui, wakaja kuachana akaolewa na shombe flani ivi wakaachana ndo connection na mwijaku ikatoka, kakaa kidogo akaolewa tena na jamaa huyo
 
View attachment 3310440mbona yuko tu vizuri naona aliamua kukaa mbali na media....japo ana bahati ya kuolewa huyu dada. Nakumbuka ndoa yake ya kwanza aliolewa na kijana wa sospeter muhongo sijui, wakaja kuachana akaolewa na shombe flani ivi wakaachana ndo connection na mwijaku ikatoka, kakaa kidogo akaolewa tena na jamaa huyo
Atakuwa na nyota kama ya manara
 
mwijaku ni mpuuzi aliyeweza kutengeneza hela kwa upuuzi wake.

kipato cha mwijaku kwa mwezi ni around milioni 8 mpaka 10

kwa kipato hicho hapa Tanzania wanawake watakukubali tu hata ukiwa mpuuzi

Tanzania kuna upungufu mkubwa sana wa wanaume wanaoweza kuhudumia wanawake ki mahitaji, hapo ndipo kina mwijaku na wenye vipato wengine wanapotake advantage kuchezea wanawake

Inasikitisha sana
 
Sawa ni mpuuzi mjinga Hana akili je umeshafikiria unaingiza kisa gan kinachomzid huyo mpuuz mwijaku😀
Asa long as anaingiza pesa zake kihalali na kuishi maisha mazur kwakwel I salute him sema Sina kipawa Cha kupiga kelele na kuongea ovyo ningekuwa nacho nisingefikiria mara mbili kutengeneza pesa Kwa mdomo mbona ingekua kazi yangu😂
Pesa sio kila kitu duniani.
Pesa ikishikwa na mpuuzi inaweza kupotea
Kyna wapuuzi wengi wakikuwa na hela keo ni hawana kitu
Pesainayopatikana jwa kufanya upuuzi,hupotea kwa upuuzi
 
Mwijaku amerise juzi hapa hana hata miaka 10 ya umaarufu ,unaweza kufanya tatizo mpaka dili zote zikakata ghafla,ajira ukafukuzqa .. Ukakosa hata wa matangazo ya dawa za nguvu za kiume ...Watu ndivyo wanavyofilisika.
Sio bongo ingekua duniani uko sawa, duniani ukikutwa na kashfa za ngono, n.k makampuni yote yanajiondoa, lakini hapa bongo ndio utafatiliwa viziuri, rejea amber Ruty baada ya video zake kuvuja ndio akaanza kupata matangazo,
 
View attachment 3310440mbona yuko tu vizuri naona aliamua kukaa mbali na media....japo ana bahati ya kuolewa huyu dada. Nakumbuka ndoa yake ya kwanza aliolewa na kijana wa sospeter muhongo sijui, wakaja kuachana akaolewa na shombe flani ivi wakaachana ndo connection na mwijaku ikatoka, kakaa kidogo akaolewa tena na jamaa huyo
Mkuu ndoa NI maigizo.
 
Bahati yake imeletwa na uzuri wake.
Ni mrembo.
 
Nikiangalia mkewe ,menina na hivyo videmu vinavyomgambania naona vya kawaida sana niki-compare na mkewe au menina....naona kama anarudi nyuma....inatakiwa achukue vyuma vikali hata mkewe akiviona anakuwa hana cha kusema.
Mkewe na kile kicho fanyiwa ukatili namkataa mkewe namchukua yule mtoto.
Mkewe kibushuti kifupi juu mkubwa chini hakuna mali.
 
Back
Top Bottom