Ndio shida ya kuwapa air time machokoInamaanisha kuwa chawa wa CCM ndio kunampa ruhusa ya kudhalilisha watu atakavyo.
Japo kwa Tanzania kila kitu kinachukuliwa poa, ila kuwepo na ukomo wa udhalilishaji. Mwijaku amevuka mipaka ya udhalilishaji.
Kwa nchi zinazojielewa Mwijaku ilipaswa iwe keshasimamishwa kazi hapo Crown kwa udhalilishaji aliofanya.
Ana harass watu atakavyo na hakuna hatua yeyote anayochukuliwa.
Huyo Chuchu akipata wanasheria wazuri ana uwezo wa kum sue huyu mpuuzi for defamation and harassment.
View: https://www.instagram.com/reel/DLPqFZoIEPU/?igsh=ZWkydG14ZnQycTZi
Amuulize musibaKinga yake ni CCM
ππππAah mb 39.8 ni nyingi sana mkuu, hemu wekeni muhtasari hapa, anasemaje huyo chawa aliyeshindwa kunyoosha shepu yake ikae kiume?? π€
Vyote tuu Mkuu,huwezi kuect Upumbavu kila siku,hiyo ni mpumbavu kwa Asili!Hii nchi ili u survive unapaswa ujitoe akili.
Angalia waliokuwa na akili timamu kama Mpina, wanasutwa hadharani mpaka na raisi, simply kwa kusema ukweli tu.
Watu kama Mwijaku sio wajinga, wamejua ku manipulate system kwa kujua udhaifu wake.
Washajua mfumo unapenda kusifia, basi wanasifia mpaka ushuzi wa mtu. Kupitia hili wanakuwa kipenzi cha mfumo, thus untouchable.
Tatizo sio la wapumbavu kama Mwijaku, tatizo ni CCM na mfumo wake wa kipumbavu.
Ana figureInamaanisha kuwa chawa wa CCM ndio kunampa ruhusa ya kudhalilisha watu atakavyo.