mzee baba hasira za dhiki zako usiletee wengine. Ulipoambiwa usome utotoni ulikuwa busy unabandua mbuzi wa bibi yako, sasa hivi maisha yamekupiga unaleta ghadhabu za kingese kwa wasiohusika.Nenda mahakamani kashitaki kwa niaba yao huwezi basi usitujazie mada za kijinga humu
Sawa sawa, ile kesi ya Kipanya dhidi yake sijui imeishia wapiIshakuwa sio siri tena kuwa ukitaka kuwa juu ya sheria basi kuwa wa Lumumba.
Inasikitisha mno.
Hahahahaha,Masoud Kipanya akiishia wapi hiviNenda mahakamani kashitaki kwa niaba yao huwezi basi usitujazie mada za kijinga humu
😂😂😂😂Expert analysis🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Watu hawako serious kabisa!!Aah mb 39.8? 🤒
Dada umetoa povu jingi Sana kwa mwambino duh😅😅Kwani huyo Mwambino huwa anakutana na watulivu au werevu, akutane na mie, namnyoosha harudii tena.
Tangu abokolewe kule Dubenga, sijui kawaje, kidogo hata baba levo hajalanduka sana, au yeye walitumia ndomu, ila kwa mwambino ikawa kavu kavu, kamiminiwa kojo zito, lina muwehusha ubongo, Lol
😂😂😂😂
Nawee unataka nikutoleee ufulie nguo brooh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dada umetoa povu jingi Sana kwa mwambino duh[emoji28][emoji28]