Mwijaku ana immunity gani ya kumuwezesha kudhalilisha watu atakavyo?

Igizo hilo Mkuu mwijaku AKA matako Makubwa yupo hivyo
 
Wanamjua vizuri sasa wanamfuatafuata wa nini?Some time naona kama ni "staged" tu kutafuta attention kama hii mnayofanya hapa,Either kwa kushirikiana na Muhusika au kum surprise tu akiwa studio.
 
Nenda mahakamani kashitaki kwa niaba yao huwezi basi usitujazie mada za kijinga humu
mzee baba hasira za dhiki zako usiletee wengine. Ulipoambiwa usome utotoni ulikuwa busy unabandua mbuzi wa bibi yako, sasa hivi maisha yamekupiga unaleta ghadhabu za kingese kwa wasiohusika.
 
Dada umetoa povu jingi Sana kwa mwambino duhπŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…