Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Kupitia ukurasa wake wa X Mwijaku ameweka picha ikionesha Polisi wa Kenya akiwa amenyooshea mtutu raia, ambapo ameandika;
"Huu ndio ujinga nisio utaka, Hakuna alie shindana na serikali akafanikiwa. So jifunze kuheshimu mamlaka . Ndugi zangu wakenya fateni njia sahihi za kuishauri serikali yenu. Huu ujinga utawatokea Puani."
Kwamba anasapoti violence ya polisi, anasapoti serikali kuminya haki na kutumia mabavu kuminya haki na za wananchi, anasapiti serikali kuwa juu ya katika ya kutosikiliza wananchi ambao ndio walipa kodi kuendesha shughuli za nchi na hata kulipa mishahara yao.
Wabongo wengi waoga kuingia bararani, ila hata hili la kuwashughulikia hawa wapuuzi mtandaoni linatushinda? Naamini hatuwezi shindwa hili;
1. Wasanii wote machawa na wajinga wanaotetea matumbo yao unfollow wote kwenye page zao za kijamii, kata mirija yote inayowatia viburi, hakuna kuungisha chochote kwenye biashara zao mpaka ikili iwakae sawa. Wakati huo huo tuoneshe sapoti kubwa kwa wasanii wote ambao wanatetea maslahi ya umma
2. Viongozi wote chawa, wala rushwa, wabadhirifu wa mali ya umma, mafisadi, hakuna lolote wanalofanya bungeni zaidi ya kusema ndio wakati jimboni kwake kuna matatizo chungu nzima tuvamie page zao vilivyo, piga spana sawa sawa mpaka bongo walizozitoa kichwani zianze kufanya kazi
3. Mawaziri wote mizigo wakiongozwa na 'Bumunda' pamoja na 'Zakayo' ni watu ambao hawatakiwi kupumua, kwa nguvu moja tunatakiwa kupinga wazi wazi yote yanayotukandamiza. Hatutakiwi kuwa kimya wakati tunafanyiwa uvunjivu mkubwa wa haki.
Tushindwe kwenda barabarani hata u-Keyboard Warrior nao utushinde kweli kabisa? Vijana tunaangusha hili taifa! Amkeni jamani tujitetee, Tanzania inatuhitaji.