Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
x sio lazima ufolo mtu ndio uone upupu wakeHv mnapataga wapi na nyie kuwa follow watu wajinga kama hao. Niseme mnaomfollow ndio mnamatatizo. Hv kweli kabisa mtu na akili zako timamu unayo na familia inakutegemea unamfollow Mwijaku.
MALKIA WA CCM??FAIZAFOXYMsifanye hivyo - maisha ya chawa ni kusifia kazi za wanaume wenzao ili wapate kuishi.
Afu hivi kwa nini hakunaga CHAWA wa kike???
Kwani wewe ni nani Hadi umpangie Mwijaku maisha au wa ku associate nae?Kupitia ukurasa wake wa X Mwijaku ameweka picha ikionesha Polisi wa Kenya akiwa amenyooshea mtutu raia, ambapo ameandika;
"Huu ndio ujinga nisio utaka, Hakuna alie shindana na serikali akafanikiwa. So jifunze kuheshimu mamlaka . Ndugi zangu wakenya fateni njia sahihi za kuishauri serikali yenu. Huu ujinga utawatokea Puani."
Kwamba anasapoti violence ya polisi, anasapoti serikali kuminya haki na kutumia mabavu kuminya haki na za wananchi, anasapiti serikali kuwa juu ya katika ya kutosikiliza wananchi ambao ndio walipa kodi kuendesha shughuli za nchi na hata kulipa mishahara yao.
Wabongo wengi waoga kuingia bararani, ila hata hili la kuwashughulikia hawa wapuuzi mtandaoni linatushinda? Naamini hatuwezi shindwa hili;
1. Wasanii wote machawa na wajinga wanaotetea matumbo yao unfollow wote kwenye page zao za kijamii, kata mirija yote inayowatia viburi, hakuna kuungisha chochote kwenye biashara zao mpaka ikili iwakae sawa. Wakati huo huo tuoneshe sapoti kubwa kwa wasanii wote ambao wanatetea maslahi ya umma
2. Viongozi wote chawa, wala rushwa, wabadhirifu wa mali ya umma, mafisadi, hakuna lolote wanalofanya bungeni zaidi ya kusema ndio wakati jimboni kwake kuna matatizo chungu nzima tuvamie page zao vilivyo, piga spana sawa sawa mpaka bongo walizozitoa kichwani zianze kufanya kazi
3. Mawaziri wote mizigo wakiongozwa na 'Bumunda' pamoja na 'Zakayo' ni watu ambao hawatakiwi kupumua, kwa nguvu moja tunatakiwa kupinga wazi wazi yote yanayotukandamiza. Hatutakiwi kuwa kimya wakati tunafanyiwa uvunjivu mkubwa wa haki.
Tushindwe kwenda barabarani hata u-Keyboard Warrior nao utushinde kweli kabisa? Vijana tunaangusha hili taifa! Amkeni jamani tujitetee, Tanzania inatuhitaji.
Nimejaribu kuongea uhalisia. Sisi Watanzania sio watu wa visasi wala sio watu wa kuweka mambo moyoni. Ila hiyo michezo anayofanya huwezi fanya hapo Rwanda, Burundi, Nchi za Afrika Magharibi hasa zile za Wafaransa.Tusifike huko Mkuu, tunaweza kuwabadilisha kwa njia nyingine, hawatushindwi kabisa
Huyu Ni mpumbafu mmojaKupitia ukurasa wake wa X Mwijaku ameweka picha ikionesha Polisi wa Kenya akiwa amenyooshea mtutu raia, ambapo ameandika;
"Huu ndio ujinga nisio utaka, Hakuna alie shindana na serikali akafanikiwa. So jifunze kuheshimu mamlaka . Ndugi zangu wakenya fateni njia sahihi za kuishauri serikali yenu. Huu ujinga utawatokea Puani."
Kwamba anasapoti violence ya polisi, anasapoti serikali kuminya haki na kutumia mabavu kuminya haki na za wananchi, anasapiti serikali kuwa juu ya katika ya kutosikiliza wananchi ambao ndio walipa kodi kuendesha shughuli za nchi na hata kulipa mishahara yao.
Wabongo wengi waoga kuingia bararani, ila hata hili la kuwashughulikia hawa wapuuzi mtandaoni linatushinda? Naamini hatuwezi shindwa hili;
1. Wasanii wote machawa na wajinga wanaotetea matumbo yao unfollow wote kwenye page zao za kijamii, kata mirija yote inayowatia viburi, hakuna kuungisha chochote kwenye biashara zao mpaka ikili iwakae sawa. Wakati huo huo tuoneshe sapoti kubwa kwa wasanii wote ambao wanatetea maslahi ya umma
2. Viongozi wote chawa, wala rushwa, wabadhirifu wa mali ya umma, mafisadi, hakuna lolote wanalofanya bungeni zaidi ya kusema ndio wakati jimboni kwake kuna matatizo chungu nzima tuvamie page zao vilivyo, piga spana sawa sawa mpaka bongo walizozitoa kichwani zianze kufanya kazi
3. Mawaziri wote mizigo wakiongozwa na 'Bumunda' pamoja na 'Zakayo' ni watu ambao hawatakiwi kupumua, kwa nguvu moja tunatakiwa kupinga wazi wazi yote yanayotukandamiza. Hatutakiwi kuwa kimya wakati tunafanyiwa uvunjivu mkubwa wa haki.
Tushindwe kwenda barabarani hata u-Keyboard Warrior nao utushinde kweli kabisa? Vijana tunaangusha hili taifa! Amkeni jamani tujitetee, Tanzania inatuhitaji.
Mtakuja tu wotee, Wakuu Chawa nyingine hii hapa ya kuishughulikia na kurudisha ubongo kwenye fuvu lake lililojaa hewaKwani wewe ni nani Hadi umpangie Mwijaku maisha au wa ku associate nae?
Huu mda wa kuandika upuuzi ungeutumia kutafuta hela familia Yako, Serikali haigawi pesa.
Mwisho Wabunge wa Kenya wamepitisha finance bill so Mwijaku Yuko sawa kwamba hawajafaulu kushinda Serikali

🚮🚮🚮🚮Mtakuja tu wotee, Wakuu Chawa nyingine hii hapa ya kuishughulikia na kurudisha ubongo kwenye fuvu lake lililojaa hewa
#KataaMachawa
#KataaUozo2025
Mkuu Blessed Tajiri tumeanza kuwanyoosha huku![]()
Nami nilitaka kuuliza swali kama hilo.Mwinjanku ndio nani muigizaji ama?
Wewe una wafolo hao akina Munjaku kwenye ma x yao ili kugundua nini?
Mleta mada ni kama anampigia promo Mwanjuku.Nami nilitaka kuuliza swali kama hilo.
Ni nani huyo? Yuko wizara gani?
Kwanini wanampa headlines? Watanzania tuna mengi sana ya kujadili. Hatuna muda wa kujadili wasiofahamika.
Tujadili hoja mfano kuuzwa kwa bandari, je ni kweli wameuza? Bima za afya kwa wanufaika je zinakidhi mahitaji yao ya tiba?
Mipango ya Serikali ndio huamua hatma ya maisha ya wananchi ,utaitenganishaje Serikali na wananchi kupata pesa?Kwani wewe ni nani Hadi umpangie Mwijaku maisha au wa ku associate nae?
Huu mda wa kuandika upuuzi ungeutumia kutafuta hela familia Yako, Serikali haigawi pesa.
Mwisho Wabunge wa Kenya wamepitisha finance bill so Mwijaku Yuko sawa kwamba hawajafaulu kushinda Serikali
Waliopata pesa wao wamepata Kwa mipango ipi?Mipango ya Serikali ndio huamua hatma ya maisha ya wananchi ,utaitenganishaje Serikali na wananchi kupata pesa?
Kwa hiyo kazi ya Serikali ni nini kama sio kuhakikisha wananchi wake waishi maisha bora?Waliopata pesa wao wamepata Kwa mipango ipi?
Ndivyo inafanya ndio maana inasifiwaKwa hiyo kazi ya Serikali ni nini kama sio kuhakikisha wananchi wake waishi maisha bora?