Pre GE2025 Mwijaku anajikuta nani hasa? Ifike mahala tuanze gomea biashara za chawa wote, unfollow kwenye mambo yao yote!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Kupitia ukurasa wake wa X Mwijaku ameweka picha ikionesha Polisi wa Kenya akiwa amenyooshea mtutu raia, ambapo ameandika;

"Huu ndio ujinga nisio utaka, Hakuna alie shindana na serikali akafanikiwa. So jifunze kuheshimu mamlaka . Ndugi zangu wakenya fateni njia sahihi za kuishauri serikali yenu. Huu ujinga utawatokea Puani."


Kwamba anasapoti violence ya polisi, anasapoti serikali kuminya haki na kutumia mabavu kuminya haki na za wananchi, anasapiti serikali kuwa juu ya katika ya kutosikiliza wananchi ambao ndio walipa kodi kuendesha shughuli za nchi na hata kulipa mishahara yao.

Wabongo wengi waoga kuingia bararani, ila hata hili la kuwashughulikia hawa wapuuzi mtandaoni linatushinda? Naamini hatuwezi shindwa hili;

1. Wasanii wote machawa na wajinga wanaotetea matumbo yao unfollow wote kwenye page zao za kijamii, kata mirija yote inayowatia viburi, hakuna kuungisha chochote kwenye biashara zao mpaka ikili iwakae sawa. Wakati huo huo tuoneshe sapoti kubwa kwa wasanii wote ambao wanatetea maslahi ya umma

2. Viongozi wote chawa, wala rushwa, wabadhirifu wa mali ya umma, mafisadi, hakuna lolote wanalofanya bungeni zaidi ya kusema ndio wakati jimboni kwake kuna matatizo chungu nzima tuvamie page zao vilivyo, piga spana sawa sawa mpaka bongo walizozitoa kichwani zianze kufanya kazi

3. Mawaziri wote mizigo wakiongozwa na 'Bumunda' pamoja na 'Zakayo' ni watu ambao hawatakiwi kupumua, kwa nguvu moja tunatakiwa kupinga wazi wazi yote yanayotukandamiza. Hatutakiwi kuwa kimya wakati tunafanyiwa uvunjivu mkubwa wa haki.

Tushindwe kwenda barabarani hata u-Keyboard Warrior nao utushinde kweli kabisa? Vijana tunaangusha hili taifa! Amkeni jamani tujitetee, Tanzania inatuhitaji.
 
Mwijaku ni mchicha mwiba siku nyingi sana, huna sababu ya kumuongelea. Hata Tanzania very soon vijana watajaa barabarani mbwaaaa huyu anadhania watu wote tunapata hela kwa kubinua kalio? Tena aache usengeee.....Hilo ni pungaa long time agoooooooo
 
Mwijaku ni mchicha mwiba siku nyingi sana, huna sababu ya kumuongelea. Hata Tanzania very soon vijana watajaa barabarani mbwaaaa huyu anadhania watu wote tunapata hela kwa kubinua kalio? Tena aache usengeee.....Hilo ni pungaa long time agoooooooo
Tatizo ni kuwa si huyu tu anayecorrupt minds za watanzania, wako wengi, ni muda wa kuanza kufanya kitu, kukoment kwenye page zao tu haitoshi, ubinafsi zao unatucost wote, ni wakati wa kuwakataa chawa wote kuanzia watu maarufu mpaka wanasiasa
 
Mwinjanku ndio nani muigizaji ama?

Wewe una wafolo hao akina Munjaku kwenye ma x yao ili kugundua nini?
 
Mimi nilikua simjui mwijaku lakini wewe umesababisha nianze kumfutilia kujua ni nani!
 
Hadi kenya inapata katiba mpya 2010 ilikuwa ni matokeo ya mauji ya maelfu yaliyotokea 2007. Sijui kama anajua lolote huyu mpumbavu

 
Bahati mbaya hatunaga umoja huo...wabongo tulishaharibiwa na mifumo yetu...ubinafsi, roho mbaya, kulishwa mambo ya kijinga na yasiyoisaidia jamii na wanasiasa..mbaya zaidi mfumo wetu wa elimu unatufanya tuwe hapa..
Tunaweza Mkuu hakuna kinachoshindikana, mimi, wewe na yule ambaye siyo mbinafsi mdogo mdogo tunaweza kuwashawishi wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…