Pre GE2025 Mwijaku anajikuta nani hasa? Ifike mahala tuanze gomea biashara za chawa wote, unfollow kwenye mambo yao yote!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiyo budget wanampitishia nani Kama Wananchi hawataki?.
 
Kinachouma zaidi gari hizo za milioni 400, mafuta ya gari, chakula, miradi yao, nyumba n.k ni kodi za wananchi, hata watoto wao wanajaza vyoo kwa kodi za wananchi, hizo posho za vikao na kila kitu hadi pesa wanzohonga hawara zao ni kodi za wananchi.
Dogo umewasahau huko Gaza
 
Sasa Gen Z mtasusia bidhaa ni bidhaa gani mnanunua zaidi ya jezi za simba, yang/azam na kondomu, azuma na energy drinks.

Hilo lingewezekana kama vijana wanafuatilia siasa na kujua nini kinaendelea.
Nje ya kujua raisi ni Samia, vice ni Mpango(vijana hawamjui huyu) na PM ni Majaliwa (anafahamika), kipi kingine vijana wanakijua??

Nenda kijiwe chochote kama upo dsm uone wanachodiscuss muda mwingi au uliza magazeti yanayouzika sana...

Ile siku ya pili yake baada ya Madelu kusoma bajeti, unategemea labda ndo iwe big issue, ila wala hamna.
Hao Gen Z hata hawajui nini kinaendelea mpaka sasa.
 
#kataaa chawaaaa
 
Eti Ndugi zangu wakenya Fateni...

Yaani hata kuandika vizuri Mwijaku hawezi

Hili jamaa ni jingajinga sana na Chawa mpumbavu

Inashangaza sana kama kuna Mwanaume na akili zake anayemfuatilia
Sijaonaga mpare wapumbavu kama wewe
#kataaa chawaaa
 
Hawa wasikusumbue, hakuna udikteka unaokosa enablers. Hata Mobutu alikuwa nao wengi tu, siku alipoondoka nao wakapotea
 
Ni huzuni kwa kweli😬
 
Sasa mbona wamefanikiwa? Mkiwa wamoja hakuna cha kuwazuia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…