kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Hamna uhusiano wa karibu baina ya elimu (ya darasani) na mafanikio ya kiuchumi.Mwamba kaporomosha ghorofa Kigamboni na bado endorsement za kutosha tofaut na PhD holder wengi nchini.
NB: Hongera Sana Mwijaku
Dawa ndogo tu TRA wamfuate wakaangalie kama Alilipa Kodi stahili kwenye Mapato yakeEti kaijenga Kwa miezi 9, aliyejenga kiuhalisia ni Bonge, msechu
Hivi kweli Mwijaku kapata deal gani ndani YA mwaka Huo mmoja Wa kulipwa let's say 1.5 billion YA kaijenga ghorofa Kwa uchawa Huo tunao uona?? Serious
Kaijenga nyumba YA billion 1.3 ndani YA miezi 9 ..Kwa deal gani?? Ambalo linaonekana
Nitabaki kuwa Tomaso..ukweli unatabia YA kujitenga..tujipe muda..tutayaona YA Aristotle kidoge awatoe ngeu watangazaji Wa DSTV Wa kipindi cha ICU
Unaweza kuwa sahihi sababu hii nyumba madalali wameipost wanatafuta wapangaji.Mwijaku hawezi kujenga nyumba hata ya Tsh 50 Million.
Mwijaku ana hela ya kubadili mboga tu na kununua petrol ya Alphard anayomiliki. Huo ni mchezo wa kuiguza tu.
TRA wangeweza kututhibitishia hili kama wanataka
Nawashangaaga sana mnao watolea mfano hao wakina Bill Gates,Jeff,Musk. Hao wamesoma tena wamesoma sana na kulala maabara, ila waliacha chuo sababu vitu walivyokuwa wanavisoma wanavijua kuliko hata hao walimu wanao wafundisha na vile kupitia wanavyo visoma,walikuwa na uwezo wa kugeuza zile idea zao na kuwa bidhaa.Tunazungumzia PhD na Uprofressa. Hata hao akina mwijaku mbona hizo degree wanazo so nao si mbumbu. Hapa point ni kwamba kiwango cha elimu hakina uhusiano na utajiri.
Ukiangalia matajiri wengi hata nje hawana elimu kubwa kuanzia wakina bilgates, elon musk, Jeff Benzos, na wengine... Maisha ni ujanja ujanja tu.
Hukupingana na mimi, kuwa na akili za ziada ndicho hicho nnachosema mimi. Elon musk ana makampuni mengi na anajua vitu vingi, lakini hana vyeti vya darasani.Nawashangaaga sana mnao watolea mfano hao wakina Bill Gates,Jeff,Musk. Hao wamesoma tena wamesoma sana na kulala maabara, ila waliacha chuo sababu vitu walivyokuwa wanavisoma wanavijua kuliko hata hao walimu wanao wafundisha na vile kupitia wanavyo visoma,walikuwa na uwezo wa kugeuza zile idea zao na kuwa bidhaa.
Huyo Mask,Billgates,Jeff mpaka kesho bado wanasoma,ila wao hawasomi kwa presha za mitihani na vyeo. Wewe unafikiri hizi AI unayo iona Co Piolot Bill Gate mule kuna idea yake, Mark wa FB nae ana AI project yake,Musk maswala ya anga kuna muda anadai halali. Yaani hao kusoma wanasoma tena sana, japo Bill Gates aliulizwa kwamba siku hizi anapiga code,akasema amepunguza ila anasoma vitu vya Business Administration na maswala ya Human Resources kwa ajili ya kuendesha makampuni yake.
Nadhani lengo la Mwijaku ni kuwaalika TRA wantembelee na kuangalia biashara zake anamfanya na kama analipa Kodi stahiliSiyo kila Mtu anapenda kuweka vitu vyake hadharani.
Siyo kila Mtu anapenda kuweka vitu vyake hadharani.
Uhusiano wa utajiri na kusoma upo tena mkubwa sana,mtu kutokuwa na vyeti sio kwamba hasomi,wapo watu wengi sana na wengine wana ajiriwa na makampuni makubwa hawana vyeti ila wana skills ambazo wamezipata kwa kujisomea wenyewe,huko Udemy,Lynda, CBT nugets na wapo nondo na wengine wana kampuni makubwa.Hukupingana na mimi, kuwa na akili za ziada ndicho hicho nnachosema mimi. Elon musk ana makampuni mengi na anajua vitu vingi, lakini hana vyeti vya darasani.
Ndio maana nimesema hakuna uhusiano na utajiri na kusoma sana kwa maana ya kuwa profesa sio uwe na PhD.
Matajiri wengi wana elimu ya maisha, elimu ya kitaa, elimu ya vitu ambavyo vinawafanya wasurvive, wawe matajiri, elimu za biashara tena sio ya darasani.
Anachokifanya mwijaku ndicho kinachompa fedha na nadhani kadri idadi ya watu wanaomuongelea -ve au +ve inavyoongezeka ndivyo pesa inavyoingia.Inferiority complex inamsumbua Mwijaku
Pili kuzaliwa familia maskini sana nako kunachangia mfano Profesa kupanda ndege sio issue Mwijaku alipiga akipanda ndege Tena inaenda kigoma kelele kibao hapa wapi anatukana Hadi walimu wa commerce kupanda kindege kidogo Cha kwenda kigoma clip ya video YouTube imo humu nadhani kazaliwa familia maskini sana Watoto wa maprofesa kupanda ndege kwenda likizo sio issue yeye kaanza kupanda ndege ukubwani Tena akiwa kamaliza digrii wakati watoto wa maprofesa wanapanda ndege na wazazi wao wakiwa wachanga au chekechekea
Maprofesa wanaruka na midege mikubwa kuvuka mabara Kwa gharama za mwajiri sio safari moja au mbili wanakaa hoteli kubwa ambazo Mwijaku hawezi lala
Anyway nikichogundua Tambo za Mwijaku ni kuzaliwa familia za kilofa sana kiasi kuwa yeye anaona mafanikio yake ni hatari
Umaskini sio mzuri wenye nacho Huwa hawahangaiki kujilinganisha na yeyote
Mwijaku anasumbuliwa na inferiority complex
Professor sio saizi yake hata siku moja
Mwijaku hajavunja sheria yoyote nchini Hadi ninapoandika Uzi huuInferiority complex inamsumbua Mwijaku
Pili kuzaliwa familia maskini sana nako kunachangia mfano Profesa kupanda ndege sio issue Mwijaku alipiga akipanda ndege Tena inaenda kigoma kelele kibao hapa wapi anatukana Hadi walimu wa commerce kupanda kindege kidogo Cha kwenda kigoma clip ya video YouTube imo humu nadhani kazaliwa familia maskini sana Watoto wa maprofesa kupanda ndege kwenda likizo sio issue yeye kaanza kupanda ndege ukubwani Tena akiwa kamaliza digrii wakati watoto wa maprofesa wanapanda ndege na wazazi wao wakiwa wachanga au chekechekea
Maprofesa wanaruka na midege mikubwa kuvuka mabara Kwa gharama za mwajiri sio safari moja au mbili wanakaa hoteli kubwa ambazo Mwijaku hawezi lala
Anyway nikichogundua Tambo za Mwijaku ni kuzaliwa familia za kilofa sana kiasi kuwa yeye anaona mafanikio yake ni hatari
Umaskini sio mzuri wenye nacho Huwa hawahangaiki kujilinganisha na yeyote
Mwijaku anasumbuliwa na inferiority complex
Professor sio saizi yake hata siku moja
Duu mbona aibuUnaweza kuwa sahihi sababu hii nyumba madalali wameipost wanatafuta wapangaji.View attachment 2863466