Mwijaku kawazidi PhD holders?

Mwijaku kawazidi PhD holders?

Mwamba kaporomosha ghorofa Kigamboni na bado endorsement za kutosha tofaut na PhD holder wengi nchini.

NB: Hongera Sana Mwijaku
Hamna uhusiano wa karibu baina ya elimu (ya darasani) na mafanikio ya kiuchumi.

Mafanikio ya kiuchumi yanahitaji elimu ya mtaa (information education) ambayo mara nyingi ni ishu ya mtu binafsi awe ana elimu kubwa au ndogo
 
Inferiority complex inamsumbua Mwijaku

Pili kuzaliwa familia maskini sana nako kunachangia mfano Profesa kupanda ndege sio issue Mwijaku alipiga akipanda ndege Tena inaenda kigoma kelele kibao hapa wapi anatukana Hadi walimu wa commerce kupanda kindege kidogo Cha kwenda kigoma clip ya video YouTube imo humu nadhani kazaliwa familia maskini sana Watoto wa maprofesa kupanda ndege kwenda likizo sio issue yeye kaanza kupanda ndege ukubwani Tena akiwa kamaliza digrii wakati watoto wa maprofesa wanapanda ndege na wazazi wao wakiwa wachanga au chekechekea

Maprofesa wanaruka na midege mikubwa kuvuka mabara Kwa gharama za mwajiri sio safari moja au mbili wanakaa hoteli kubwa ambazo Mwijaku hawezi lala
Anyway nikichogundua Tambo za Mwijaku ni kuzaliwa familia za kilofa sana kiasi kuwa yeye anaona mafanikio yake ni hatari

Umaskini sio mzuri wenye nacho Huwa hawahangaiki kujilinganisha na yeyote

Mwijaku anasumbuliwa na inferiority complex

Professor sio saizi yake hata siku moja
 
Eti kaijenga Kwa miezi 9, aliyejenga kiuhalisia ni Bonge, msechu

Hivi kweli Mwijaku kapata deal gani ndani YA mwaka Huo mmoja Wa kulipwa let's say 1.5 billion YA kaijenga ghorofa Kwa uchawa Huo tunao uona?? Serious

Kaijenga nyumba YA billion 1.3 ndani YA miezi 9 ..Kwa deal gani?? Ambalo linaonekana
Nitabaki kuwa Tomaso..ukweli unatabia YA kujitenga..tujipe muda..tutayaona YA Aristotle kidoge awatoe ngeu watangazaji Wa DSTV Wa kipindi cha ICU
Dawa ndogo tu TRA wamfuate wakaangalie kama Alilipa Kodi stahili kwenye Mapato yake
 
Mwijaku hawezi kujenga nyumba hata ya Tsh 50 Million.

Mwijaku ana hela ya kubadili mboga tu na kununua petrol ya Alphard anayomiliki. Huo ni mchezo wa kuiguza tu.

TRA wangeweza kututhibitishia hili kama wanataka
Unaweza kuwa sahihi sababu hii nyumba madalali wameipost wanatafuta wapangaji.
Screenshot_20240106_122253_Instagram.jpg
 
Tunazungumzia PhD na Uprofressa. Hata hao akina mwijaku mbona hizo degree wanazo so nao si mbumbu. Hapa point ni kwamba kiwango cha elimu hakina uhusiano na utajiri.
Ukiangalia matajiri wengi hata nje hawana elimu kubwa kuanzia wakina bilgates, elon musk, Jeff Benzos, na wengine... Maisha ni ujanja ujanja tu.
Nawashangaaga sana mnao watolea mfano hao wakina Bill Gates,Jeff,Musk. Hao wamesoma tena wamesoma sana na kulala maabara, ila waliacha chuo sababu vitu walivyokuwa wanavisoma wanavijua kuliko hata hao walimu wanao wafundisha na vile kupitia wanavyo visoma,walikuwa na uwezo wa kugeuza zile idea zao na kuwa bidhaa.

Huyo Mask,Billgates,Jeff mpaka kesho bado wanasoma,ila wao hawasomi kwa presha za mitihani na vyeo. Wewe unafikiri hizi AI unayo iona Co Piolot Bill Gate mule kuna idea yake, Mark wa FB nae ana AI project yake,Musk maswala ya anga kuna muda anadai halali. Yaani hao kusoma wanasoma tena sana, japo Bill Gates aliulizwa kwamba siku hizi anapiga code,akasema amepunguza ila anasoma vitu vya Business Administration na maswala ya Human Resources kwa ajili ya kuendesha makampuni yake.
 
Hukupingana na mimi, kuwa na akili za ziada ndicho hicho nnachosema mimi. Elon musk ana makampuni mengi na anajua vitu vingi, lakini hana vyeti vya darasani.
Ndio maana nimesema hakuna uhusiano na utajiri na kusoma sana kwa maana ya kuwa profesa sio uwe na PhD.
Matajiri wengi wana elimu ya maisha, elimu ya kitaa, elimu ya vitu ambavyo vinawafanya wasurvive, wawe matajiri, elimu za biashara tena sio ya darasani.
 
Mtu mmekuwa vilaza kweli,mnaamini vitu watu wanapost. Ukute hata si nyumba yake .
 
Hukupingana na mimi, kuwa na akili za ziada ndicho hicho nnachosema mimi. Elon musk ana makampuni mengi na anajua vitu vingi, lakini hana vyeti vya darasani.
Ndio maana nimesema hakuna uhusiano na utajiri na kusoma sana kwa maana ya kuwa profesa sio uwe na PhD.
Matajiri wengi wana elimu ya maisha, elimu ya kitaa, elimu ya vitu ambavyo vinawafanya wasurvive, wawe matajiri, elimu za biashara tena sio ya darasani.
Uhusiano wa utajiri na kusoma upo tena mkubwa sana,mtu kutokuwa na vyeti sio kwamba hasomi,wapo watu wengi sana na wengine wana ajiriwa na makampuni makubwa hawana vyeti ila wana skills ambazo wamezipata kwa kujisomea wenyewe,huko Udemy,Lynda, CBT nugets na wapo nondo na wengine wana kampuni makubwa.

Hao matajiri wasio soma labda wa huku TZ,ila Mark,Bill Gates,Mask wale mpaka kesho bado wanasoma.Siku hizi kama mwanao kama ukigundua ana akili ,kuna channel kibao Internet wanafundisha maswala ya IT unaweza kumunga nazo tena hata akimaliza form four,dunia tunayo elekea sio ya vyeti bali ni ya skills.

Elon ana degree na master so vyeti anavyo ila still bado anasoma yale maproject anayo yasimamia ukiwa sio mtu wa kusoma ngumu kuiendesha kampuni.

Tena dunia ya sasa hivi haihitaji ujanja ujanja kabisa,kila kitu ni smart na computerized na AI sishaanza kuchukua nafasi, nazani unaona hata mafundi magari wajanja wajanja wanavyo struggle na hizi skills si lazima uwe na vyeti unaweza ukajiongeza mwenye kwa kusoma internet.
 
Duuh baba ana kazi huyooo...mkivaa viatu vyake hamuwezi acheni tuu ajenge..maana kazi ya mwijaku mwenye phd haiwezi..
 
Inferiority complex inamsumbua Mwijaku

Pili kuzaliwa familia maskini sana nako kunachangia mfano Profesa kupanda ndege sio issue Mwijaku alipiga akipanda ndege Tena inaenda kigoma kelele kibao hapa wapi anatukana Hadi walimu wa commerce kupanda kindege kidogo Cha kwenda kigoma clip ya video YouTube imo humu nadhani kazaliwa familia maskini sana Watoto wa maprofesa kupanda ndege kwenda likizo sio issue yeye kaanza kupanda ndege ukubwani Tena akiwa kamaliza digrii wakati watoto wa maprofesa wanapanda ndege na wazazi wao wakiwa wachanga au chekechekea

Maprofesa wanaruka na midege mikubwa kuvuka mabara Kwa gharama za mwajiri sio safari moja au mbili wanakaa hoteli kubwa ambazo Mwijaku hawezi lala
Anyway nikichogundua Tambo za Mwijaku ni kuzaliwa familia za kilofa sana kiasi kuwa yeye anaona mafanikio yake ni hatari

Umaskini sio mzuri wenye nacho Huwa hawahangaiki kujilinganisha na yeyote

Mwijaku anasumbuliwa na inferiority complex

Professor sio saizi yake hata siku moja
Anachokifanya mwijaku ndicho kinachompa fedha na nadhani kadri idadi ya watu wanaomuongelea -ve au +ve inavyoongezeka ndivyo pesa inavyoingia.
 
Inferiority complex inamsumbua Mwijaku

Pili kuzaliwa familia maskini sana nako kunachangia mfano Profesa kupanda ndege sio issue Mwijaku alipiga akipanda ndege Tena inaenda kigoma kelele kibao hapa wapi anatukana Hadi walimu wa commerce kupanda kindege kidogo Cha kwenda kigoma clip ya video YouTube imo humu nadhani kazaliwa familia maskini sana Watoto wa maprofesa kupanda ndege kwenda likizo sio issue yeye kaanza kupanda ndege ukubwani Tena akiwa kamaliza digrii wakati watoto wa maprofesa wanapanda ndege na wazazi wao wakiwa wachanga au chekechekea

Maprofesa wanaruka na midege mikubwa kuvuka mabara Kwa gharama za mwajiri sio safari moja au mbili wanakaa hoteli kubwa ambazo Mwijaku hawezi lala
Anyway nikichogundua Tambo za Mwijaku ni kuzaliwa familia za kilofa sana kiasi kuwa yeye anaona mafanikio yake ni hatari

Umaskini sio mzuri wenye nacho Huwa hawahangaiki kujilinganisha na yeyote

Mwijaku anasumbuliwa na inferiority complex

Professor sio saizi yake hata siku moja
Mwijaku hajavunja sheria yoyote nchini Hadi ninapoandika Uzi huu
 
Nampongeza ndugu Burton mwemba Kwa kujipinda na kujenga nyumba wilaya ya kigamboni jijini Dar es salaam maeneo ya kisota kama anavyodai Ila pale ni maweni katika kauli zake anasema ameiheshimisha kigamboni Kwa yeye kujenga nyumba kigamboni Sisi mabepari wa huku tunamwambia aache ushamba na ULIMBUKENI kigamboni sio ya walalahoi kama wilaya zingine za jijini hapa kiasi kuhitaji PR ya MWIJAKU this is prime area in the city wala haihitaji makelele yake yaani huku ni kushusha vitu kimya kimya labda kwa taarifa yake tu apite maeneo haya kibada nyakwale,block 17,kisota Kwa Dau,kibada kichangani,kibada kwa mkorea,kibada block 16,geza kwa mchina south beach residence,kimbiji kwa ally wa lakeoil,kimbiji kwa gsm,kisarawe 2,lingato ,kisarawe 2 kigogo,kibada block 16,kibada kichangani,avic town,mwogongozo,kimbiji kwenye estate ya bin kleb,.
Kigamboni ingawa Kwa sasa kuna sehemu utaona ni mapori lakini kumepimwa na mipango ya matumizi ya ardhi yamezingatiwa ni jiji la hapo baadae ambalo asilimia 90% ardhi ya kigamboni imepimwa hizi data nenda pale wilayani geza,tunakituo kizuri cha polisi wilayani geza,makao makuu ya wilaya yanaeneo kubwa mpka baharini Shida ipo Kwa TARURA na TANROAD kutujengea miundombinu Kwa wakati,barabara kutoka kibada mpaka kimbiji ujenzi Kwa kiwango cha lami wanaanza mwaka huu
Kuna beach [emoji3553][emoji3553][emoji2513] nzuri na Safi huku kigamboni
Kama wew bepari karibu kigamboni kelele hatutaki
Note.kaa darajani uone brand za magari yanayovyopita ndio utajua kuwa huku ni Kwa mabepari.
Karibuni kigamboni mapebari wenzangu
Picha nitazileta

Sent from my 21061119AG using JamiiForums mobile app
 
Mbona wahindi Wana Hela na hawajengi ghorofa labda la kupangisha.
Na sio kufukia hela ardhini
 
Back
Top Bottom