Nampongeza ndugu Burton mwemba Kwa kujipinda na kujenga nyumba wilaya ya kigamboni jijini Dar es salaam maeneo ya kisota kama anavyodai Ila pale ni maweni katika kauli zake anasema ameiheshimisha kigamboni Kwa yeye kujenga nyumba kigamboni Sisi mabepari wa huku tunamwambia aache ushamba na ULIMBUKENI kigamboni sio ya walalahoi kama wilaya zingine za jijini hapa kiasi kuhitaji PR ya MWIJAKU this is prime area in the city wala haihitaji makelele yake yaani huku ni kushusha vitu kimya kimya labda kwa taarifa yake tu apite maeneo haya kibada nyakwale,block 17,kisota Kwa Dau,kibada kichangani,kibada kwa mkorea,kibada block 16,geza kwa mchina south beach residence,kimbiji kwa ally wa lakeoil,kimbiji kwa gsm,kisarawe 2,lingato ,kisarawe 2 kigogo,kibada block 16,kibada kichangani,avic town,mwogongozo,kimbiji kwenye estate ya bin kleb,.
Kigamboni ingawa Kwa sasa kuna sehemu utaona ni mapori lakini kumepimwa na mipango ya matumizi ya ardhi yamezingatiwa ni jiji la hapo baadae ambalo asilimia 90% ardhi ya kigamboni imepimwa hizi data nenda pale wilayani geza,tunakituo kizuri cha polisi wilayani geza,makao makuu ya wilaya yanaeneo kubwa mpka baharini Shida ipo Kwa TARURA na TANROAD kutujengea miundombinu Kwa wakati,barabara kutoka kibada mpaka kimbiji ujenzi Kwa kiwango cha lami wanaanza mwaka huu
Kuna beach [emoji3553][emoji3553][emoji2513] nzuri na Safi huku kigamboni
Kama wew bepari karibu kigamboni kelele hatutaki
Note.kaa darajani uone brand za magari yanayovyopita ndio utajua kuwa huku ni Kwa mabepari.
Karibuni kigamboni mapebari wenzangu
Picha nitazileta
Sent from my 21061119AG using
JamiiForums mobile app