Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusoma sana si gear ya kuwazidi ambao hawakusoma sana. Hata akina billgates, elon musk hawa elimu ya uprofesa kama maprofesa wa huko marekani, lakini wana ela.Mwamba kaporomosha ghorofa Kigamboni na bado endorsement za kutosha tofaut na PhD holder wengi nchini.
NB: Hongera Sana Mwijaku
SafiPhD in Electromagnetic engineering
Mitandao ya kijamii isiwavuruge vijanaMwamba kaporomosha ghorofa Kigamboni na bado endorsement za kutosha tofaut na PhD holder wengi nchini.
NB: Hongera Sana Mwijaku
Bill gate ana degree na Elon musk ana mastersKusoma sana si gear ya kuwazidi ambao hawakusoma sana. Hata akina billgates, elon musk hawa elimu ya uprofesa kama maprofesa wa huko marekani, lakini wana ela.
Maisha ujanja
Ni kweli Elon musk ana masters alikua aendelee kupiga Phd akahairishaNnachojua matajiri wakubwa tz Wana elimu mfano Mo na Rostam Azizi,halafu Africa pia mfano Dangote na Mosepe,halafu duniani huyo Elon Musk ambae ni namba moja kwasasa ni bonge la mwanafizikia Yan science imelala pale,,haya naomba wadau wanitajie watu ambao hawana elimu halafu wamewazidi hao jamaa,Yan mtanzania ambaye hajasoma halafu anamzd Mo na Rostam,au muafrica asiye na elimu wa kumzid Dangote na mtu yeyote Dunian asiye na elimu anayemzidi Elon.Ni kweli mafanikio yana njia mbalimbali lakini kwa Dunia ilipofikia Sasa kuna umuhimu sana wa mtu kupata elimu
Mwamba kaporomosha ghorofa Kigamboni na bado endorsement za kutosha tofaut na PhD holder wengi nchini.
NB: Hongera Sana Mwijaku
Tunazungumzia PhD na Uprofressa. Hata hao akina mwijaku mbona hizo degree wanazo so nao si mbumbu. Hapa point ni kwamba kiwango cha elimu hakina uhusiano na utajiri.Bill gate ana degree na Elon musk ana masters
Sio kwamba ni mambumbumbu wale
Kwa hio mwijaku kua na hiko kifremu cha 20 kwa 20 anapost post ndio mnamlinganisha na PhD au maprofesa?Tunazungumzia PhD na Uprofressa. Hata hao akina mwijaku mbona hizo degree wanazo so nao si mbumbu. Hapa point ni kwamba kiwango cha elimu hakina uhusiano na utajiri.
Ukiangalia matajiri wengi hata nje hawana elimu kubwa kuanzia wakina bilgates, elon musk, Jeff Benzos, na wengine... Maisha ni ujanja ujanja tu.
Wewe umeona mimi nimemlinganisha wapi na maprofesa. Nilichomwambia mleta mada ni kuwa, si tanzania tu hata huko mbele hakuna uhusiano wa kuwa tajiri na kusoma. Utajiri ni ujanja na akili za ziada. Elimu mara nyingi hukufanay uwe na maisha ya kawaida yani middle class.Kwa hio mwijaku kua na hiko kifremu cha 20 kwa 20 anapost post ndio mnamlinganisha na PhD au maprofesa?
Phd holders wana miradi zaidi ya hio hawana kelele
Mwijaku hawezi kujenga nyumba hata ya Tsh 50 Million.Aristotle alijigamba ana ghorofa Kali..yapo wapi ..kumbe ilikuwa ni Kiki haikuwa nyumba yake aliwekwa tu Na mdau
Mambo mengi YA wasanii Sio kweli almost ni fake life
Mfano mwijaku ghorofa Hilo anadai ghrama yake ni TZS 1.3 billion..wakati muonekano wake (Wa ghorofa) hauzidi 300million
Fikiria Kwa endorsement zipi mwijaku amilki 1.3 billion
Maana endorsement Na hulstle zake tunaziona...tuache fake life tutafika mbali ii
Wengine wanadai ni promo Ya mojawapo YA nyumba za Hamidi city..is it true?? Tujipe muda
Eti kaijenga Kwa miezi 9, aliyejenga kiuhalisia ni Bonge, msechuMwijaku hawezi kujenga nyumba hata ya Tsh 50 Million.
Mwijaku ana hela ya kubadili mboga tu na kununua petrol ya Alphard anayomiliki. Huo ni mchezo wa kuiguza tu.
TRA wangeweza kututhibitishia hili kama wanataka