Mwijaku kawazidi PhD holders?

Mwijaku kawazidi PhD holders?

Mwamba kaporomosha ghorofa Kigamboni na bado endorsement za kutosha tofaut na PhD holder wengi nchini.

NB: Hongera Sana Mwijaku
Kusoma sana si gear ya kuwazidi ambao hawakusoma sana. Hata akina billgates, elon musk hawa elimu ya uprofesa kama maprofesa wa huko marekani, lakini wana ela.
Maisha ujanja
 
Nnachojua matajiri wakubwa tz Wana elimu mfano Mo na Rostam Azizi,halafu Africa pia mfano Dangote na Mosepe,halafu duniani huyo Elon Musk ambae ni namba moja kwasasa ni bonge la mwanafizikia Yan science imelala pale,,haya naomba wadau wanitajie watu ambao hawana elimu halafu wamewazidi hao jamaa,Yan mtanzania ambaye hajasoma halafu anamzd Mo na Rostam,au muafrica asiye na elimu wa kumzid Dangote na mtu yeyote Dunian asiye na elimu anayemzidi Elon.Ni kweli mafanikio yana njia mbalimbali lakini kwa Dunia ilipofikia Sasa kuna umuhimu sana wa mtu kupata elimu
 
Mitandao ya kijamii isiwavuruge vijana

Hawa akina mwijaku ndio wanaochangia vijana mnakua na depression,mnajiua

Msifuate mambo ya mitandaoni,ishi kwa uhalisia

Achaneni na hao wapiga kelele,watu wametulia tu hawana show off kama hao wajinga wajinga
 
Kusoma sana si gear ya kuwazidi ambao hawakusoma sana. Hata akina billgates, elon musk hawa elimu ya uprofesa kama maprofesa wa huko marekani, lakini wana ela.
Maisha ujanja
Bill gate ana degree na Elon musk ana masters

Sio kwamba ni mambumbumbu wale
 
Nnachojua matajiri wakubwa tz Wana elimu mfano Mo na Rostam Azizi,halafu Africa pia mfano Dangote na Mosepe,halafu duniani huyo Elon Musk ambae ni namba moja kwasasa ni bonge la mwanafizikia Yan science imelala pale,,haya naomba wadau wanitajie watu ambao hawana elimu halafu wamewazidi hao jamaa,Yan mtanzania ambaye hajasoma halafu anamzd Mo na Rostam,au muafrica asiye na elimu wa kumzid Dangote na mtu yeyote Dunian asiye na elimu anayemzidi Elon.Ni kweli mafanikio yana njia mbalimbali lakini kwa Dunia ilipofikia Sasa kuna umuhimu sana wa mtu kupata elimu
Ni kweli Elon musk ana masters alikua aendelee kupiga Phd akahairisha
 
Mwamba kaporomosha ghorofa Kigamboni na bado endorsement za kutosha tofaut na PhD holder wengi nchini.

NB: Hongera Sana Mwijaku

Una changanya elimu na mafanikio, ni vitu viwili tofauti
 
Aristotle alijigamba ana ghorofa Kali..yapo wapi ..kumbe ilikuwa ni Kiki haikuwa nyumba yake aliwekwa tu Na mdau

Mambo mengi YA wasanii Sio kweli almost ni fake life

Mfano mwijaku ghorofa Hilo anadai ghrama yake ni TZS 1.3 billion..wakati muonekano wake (Wa ghorofa) hauzidi 300million
Fikiria Kwa endorsement zipi mwijaku amilki 1.3 billion

Maana endorsement Na hulstle zake tunaziona...tuache fake life tutafika mbali ii

Wengine wanadai ni promo Ya mojawapo YA nyumba za Hamidi city..is it true?? Tujipe muda
 
Bill gate ana degree na Elon musk ana masters

Sio kwamba ni mambumbumbu wale
Tunazungumzia PhD na Uprofressa. Hata hao akina mwijaku mbona hizo degree wanazo so nao si mbumbu. Hapa point ni kwamba kiwango cha elimu hakina uhusiano na utajiri.
Ukiangalia matajiri wengi hata nje hawana elimu kubwa kuanzia wakina bilgates, elon musk, Jeff Benzos, na wengine... Maisha ni ujanja ujanja tu.
 
Kwa hio mwijaku kua na hiko kifremu cha 20 kwa 20 anapost post ndio mnamlinganisha na PhD au maprofesa?

Phd holders wana miradi zaidi ya hio hawana kelele
 
Wewe umeona mimi nimemlinganisha wapi na maprofesa. Nilichomwambia mleta mada ni kuwa, si tanzania tu hata huko mbele hakuna uhusiano wa kuwa tajiri na kusoma. Utajiri ni ujanja na akili za ziada. Elimu mara nyingi hukufanay uwe na maisha ya kawaida yani middle class.
 
Aristotle alijigamba ana ghorofa Kali..yapo wapi ..kumbe ilikuwa ni Kiki haikuwa nyumba yake aliwekwa tu Na mdau

Mambo mengi YA wasanii Sio kweli almost ni fake life

Mfano mwijaku ghorofa Hilo anadai ghrama yake ni TZS 1.3 billion..wakati muonekano wake (Wa ghorofa) hauzidi 300million
Fikiria Kwa endorsement zipi mwijaku amilki 1.3 billion

Maana endorsement Na hulstle zake tunaziona...tuache fake life tutafika mbali ii

Wengine wanadai ni promo Ya mojawapo YA nyumba za Hamidi city..is it true?? Tujipe muda
Mwijaku hawezi kujenga nyumba hata ya Tsh 50 Million.

Mwijaku ana hela ya kubadili mboga tu na kununua petrol ya Alphard anayomiliki. Huo ni mchezo wa kuiguza tu.

TRA wangeweza kututhibitishia hili kama wanataka
 
Eti kaijenga Kwa miezi 9, aliyejenga kiuhalisia ni Bonge, msechu

Hivi kweli Mwijaku kapata deal gani ndani YA mwaka Huo mmoja Wa kulipwa let's say 1.5 billion YA kaijenga ghorofa Kwa uchawa Huo tunao uona?? Serious

Kaijenga nyumba YA billion 1.3 ndani YA miezi 9 ..Kwa deal gani?? Ambalo linaonekana
Nitabaki kuwa Tomaso..ukweli unatabia YA kujitenga..tujipe muda..tutayaona YA Aristotle kidoge awatoe ngeu watangazaji Wa DSTV Wa kipindi cha ICU
 
Kwani kuna uhusiano wowote kati ya PhD na kumiliki ghorofa.? Kwanza maprofesa na Madokta wengi walionifundisha UDSM ni Marxists. Hawaamini kwenye hayo mambo ya nyumba au magari ya kifahari
 
Naomba correlation Kati ya mafanikio na kiwango cha elimu ya mtu
 
Back
Top Bottom