Mwijaku na Babalevo leo Bungeni

Mwijaku na Babalevo leo Bungeni

Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Zamani wa Dar, Ma-Dereva; alikuwa anamsema "Pierre Liquid". Pierre Liquid akawa mdogo kama "Punje ya Aladali".
Kama vile..
images.jpeg-2.jpg
 
NI UJINGA JUU YA UJINGA HADI KWENYE TAASISI NA MHIMILI MKUU WA NCHI.
WANASHINDWA KUALIKA WAVUMBUZI KAMA KINA KIPANYA, WATU MASHUHURI WALIOFANYIA NCHI MAKUBWA WAO WANAALIKA HAO JAMAA.
KAMA TAIFA KUNA JAMBO HALIKO SAWA
Mkuuu usisahau na pierre liquid ashawahi alikwaaa hahahahahahahahah
 
Bashite kwa lile alitoa boko. Kwenye ile siku watu walikusanyika pale kuchangia kampeni na Pierre Liquid alitoa shilingi za kutosha tu. Sasa kama kiongozi kwa ile personal attack hakuonyesha busara.
Lile lilikua matako sana kichwani kama alivyojaaliwa mahips na matako makubwa mazuri.
 
Back
Top Bottom