Mwijaku ana CV nzito lakini ni Chawa wa mtu wa darasa la saba. Nikionacho mimi na marumbano yanayoendelea yeye na timu ya Diamond hadi kupelekea kutoa vyeti vyake hadharani anakidhalilisha chuo chetu.
Kweli mtu mwenye degree unaweza kua mpuuzi kiasi kile? Kuna umuhimu mkubwa elimu yetu ifanyiwe marekebisho