Mwijaku na Wana Muheza wadeki barabara kama ishara ya upendo kwa Rais Samia

Mwijaku na Wana Muheza wadeki barabara kama ishara ya upendo kwa Rais Samia

Kama hicho anachokifanya Mwijaku anaamini kitaondoa umasikini kwenye ukoo wake basi siwezi kumsimanga wala kumlaumu.
Umasikini mbaya sana!!!
 
Inabidi M23 wakimaliza huko Congo wapite kidogo na huku kurekebisha mambo🐼
 
Kweli nimeamini Ajira ni ngumu, ila kazi zipo nyingi sanaa. Tafuta fursa tuu! Huyu DC Mwijaku anaonekana Kituko lakini yupo kazini hiyo ni project ameandika wazo akalipeleka kwa Wenye hela na kwa vile wenye hela wamepewa Kofia basi wakaona litafaa ili wao weendelee kunufaika..yaani hii inaitwa Mutual benefit.
 
Wanadeki barabara wakati huko kuna shida ya maji 😄

Ova
 
Hawa Wana tofaut gan na waliojipaka matope kule uwanja wa taifa ?
 
Jimbo la Muheza ni jimbo linaloongoza kwa ufukara, linaongoza kwa ukosefu wa Maji ila wananchi wake wanafanya huo upuuzi inasikitisha sana🚮

Sio maji tu, hilo jimbo linaongoza kwa ukosefu wa akili pia.
 
Back
Top Bottom