Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,183
- 2,100
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kwa kushirikiana na Maafisa wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum limewakamata na kuwahoji Watuhumiwa wanne akiwemo Mwemba Burton maarufu Mwijaku Mkazi wa Dar es Salaam, chanzo kikiwa ni suala la kushambuliwa na kudhalilishwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi Dar es salaam aitwaye Magnificat Barnabas Kimario.
Akiongea Jijini Dar es salaam leo April 24,2025 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Muliro Jummane amesema "Watuhumiwa wanne walikamatwa na kuhojiwa mpaka sasa ambao ni Mary Gervas Matogoro wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Ryner Ponci Mkwawili wa Chuo cha Ardhi Dar es salaam na Asha Suleiman Juma wa Chuo cha Uhasibu Dar es salaam pamoja na Mwijaku"
Soma Pia: Dkt. Gwajima: Sakata la Mabinti wa Chuo Kikuu kupigana kisa mume wa mtu, Mwijaku kuhojiwa
"Upelelezi wa shauri hili unakamilishwa kwa hatua zaidi za kisheria"
Chanzo: MillardAyo