Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kwa kushirikiana na Maafisa wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum limewakamata na kuwahoji Watuhumiwa wanne akiwemo Mwemba Burton maarufu Mwijaku Mkazi wa Dar es Salaam, chanzo kikiwa ni suala la kushambuliwa na kudhalilishwa...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa taarifa kwa umma kuhusu mabinti wanafunzi wa chuo kikuu waliomdhalilisha binti mwenzaoa, taarifa hiyo ni kama ifuatavyo
"Ndugu Wananchi, rejeeni taarifa yangu kwa umma ya tarehe 20 Aprili, 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.