Dkt. Gwajima: Sakata la Mabinti wa Chuo Kikuu kupigana kisa mume wa mtu, Mwijaku kuhojiwa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa taarifa kwa umma kuhusu mabinti wanafunzi wa chuo kikuu waliomdhalilisha binti mwenzaoa, taarifa hiyo ni kama ifuatavyo

IMG_4078.jpeg

"Ndugu Wananchi, rejeeni taarifa yangu kwa umma ya tarehe 20 Aprili, 2025 kuhusu mada tajwa hapo juu. Jeshi letu la Polisi linaendelea kutimiza wajibu wake wa kisheria kuhusu kuwahoji wahusika wa tukio hilo."

"Aidha, kwa upande mwingine, jamii nayo imeendelea kuhoji mbona aliyetajwa kuwa ni Mwijaku hakamatwi? Ndugu Wananchi, napenda kuwahakikishia kuwa, Mwijaku aliyetajwa kwenye video za mgogoro wa mabinti hao, naye atahojiwa kwa mujibu wa Sheria na baada ya hapo, Wizara yangu itaona nini ifanye kuhusu mustakabali mzima wa maadili ya jamii na nafasi ya huyo Mwijaku na wengine wote wenye nafasi zenye kuchochea kasi ya athari chanya au hasi kwenye maadili ya jamii. Aidha, nawaomba tuwe watulivu na tuendelee kufuatilia taarifa za Jeshi letu la Polisi."
IMG_4077.jpeg

IMG_4076.jpeg

Soma, Pia
 
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa taarifa kwa umma kuhusu mabinti wanafunzi wa chuo kikuu waliomdhalilisha binti mwenzaoa, taarifa hiyo ni kama ifuatavyo

View attachment 3312883

View attachment 3312877
View attachment 3312867

Soma, Pia
@mwijaku ni member wa Chama Cha Mazezeta
 
wamhoji kwa kosa gani?
 
Hao mademu wa chuo nao ni washenzi tu, wanawakilisha washenzi wenzao walioko vyuo vingine. Badala ya ku concetrate kwenye masomo yao wao ni mapenzi tu. Mwisho tunakuja kupata wasomi wahuni na malaya wakubwa
 
Hizi nguvu tungewekeza kwenye watoto wa kitaa na sio watu wenye akili zao na watu wazima, nadhani hizo resources chache zilizopo zingetumika vema zaidi...,

By the way sichoki kuuliza...; ;labda mkitoka kuhoji huyu mtaangalia na hili
 
Wafukuzwe tu chuo hao wanafunzi hiyo ndo adhabu wanayostahili kupewa!
 
Back
Top Bottom