Dkt. Gwajima: Sakata la Mabinti wa Chuo Kikuu kupigana kisa mume wa mtu, Mwijaku kuhojiwa

Dkt. Gwajima: Sakata la Mabinti wa Chuo Kikuu kupigana kisa mume wa mtu, Mwijaku kuhojiwa

Mitandao inakuza sana mambo ya ajabu ajabu!

Tutahojiwa wengi sana video zetu zikivuja!
 
Bas hapo Mwija anaona raha mwenyewe kuzungumzwa mitandaoni, Lol
Hapo cocastic ume haribu ukimuita Mwijaku 'Mwija'. Huko Bukoba Mwija ni jina la heshima. Ni kifupi cha jina la Mwijage, maana yake 'Mbarikiwa'. Sasa huyu hayawani Mwijaku si Mbarikiwa kamwe.
 
"Aidha, kwa upande mwingine, jamii nayo imeendelea kuhoji mbona aliyetajwa kuwa ni Mwijaku hakamatwi? Ndugu Wananchi, napenda kuwahakikishia kuwa, Mwijaku aliyetajwa kwenye video za mgogoro wa mabinti hao, naye atahojiwa kwa mujibu wa Sheria na baada ya hapo, Wizara yangu itaona nini ifanye kuhusu mustakabali mzima wa maadili ya jamii na nafasi ya huyo Mwijaku na wengine wote wenye nafasi zenye kuchochea kasi ya athari chanya au hasi kwenye maadili ya jamii. Aidha, nawaomba tuwe watulivu na tuendelee kufuatilia taarifa za Jeshi letu la Polisi."
1745409370642.png
 
Hapo cocastic ume haribu ukimuita Mwijaku 'Mwija'. Huko Bukoba Mwija ni jina la heshima. Ni kifupi cha jina la Mwijage, maana yake 'Mbarikiwa'. Sasa huyu hayawani Mwijaku si Mbarikiwa kamwe.
Aaaah kumbe?! Basi sawa.
 
Mwanzoni nilikuwa nikiona Mwijaku kila saa anampost mke wake na kumpa sifa kama zote nikawa najisemea mke wake kapata mume. Kumbe looh.
 
Katika hili kosa lake liko wapi?
Kuna mwanaume hatafuni wanachuo?

Waliwaji ndio wamejidhalilisha kwani Mwijaku hajaongea wala kuwadhalilisha
Mkuu naomba usinifokee tafadhali, tafadhali sana
 
Mwijaku anakosa gani kwenye hii issue?

Kama kosa analo ni la kimaadili na sio jinai wala madai!
Mwija hana kosa lolote kisheria.Hao makinikia ni watu wazima na waliridhia kufuck na Mwijaku.Kwani kutongoza naukfuck ni kosa?
 
Mwanzoni nilikuwa nikiona Mwijaku kila saa anampost mke wake na kumpa sifa kama zote nikawa najisemea mke wake kapata mume. Kumbe looh.
Waja wanasema muogope sana mwanaume anayempost mkewe mara kwa mara ikiambatana na maneno matamu.
 
Mwija.. ni baba aliyekosa heshima na akashindwa kujiheshimu,ila ajue ana watoto,hayo mambo ya kusameheana na mke wake huo upumbavu bado sio kinga.Anapaswa kujutia huo upumbavu badala ya kujigamba.Kama ni maagizo ya ushirikina wake na mkewe kuongeza umaarufu tutajuaje.Kuna kiongozi mmoja alikuwa anatembea na vibinti mkewe akiambiwa alikuwa hachukui hatua yeyote kumbe lao lilikuwa moja ni ushirikina wa kuchukua nyota wa mabinti na kufanyia biashara na mengineyo.Dunia ina siri we acha tu.
 
Ni aibu sana wameleta embu fanya kama wewe ni mzazi umejinyima ukampeleka binti yako akasome chuo..

Then uje uone video zinatrend binti yako anapigania mme ***** wa mtu utajisikiaje?!
Ni kweli hii inauma mzee, hawa wamefanya makosa makubwa lakini kuwafukuza chuo ni makosa makubwa sana.
Kuhitilafiana hutokea mara kadhaa kwenye jamii na reaction za kuhitilafiana zinatofautiana kulingana na jinsia (Me na Ke)
Wanawake wanapohitilafiana huishia kuzalilishana, ndio maana wanawake wanapohitilafiana na kuwa na machungu wengi huwa wanakimbilia kuchaniana nguo.
(Wanakuwa wanapunguza ile jazba)
Wanaume wao silaha yao huwa ni ukimya na kisha mpango wa kisasi au ukimya na kupotezea.
Hawa wamekosea sana, tatizo sio wao.
MFUMO!..
 
Kama kidume lazima mwanaume uchakate K za wanawake,mwanaume kaumbiwa hawa wanawake,na mwanamme ni polygamous Kwa asili yake,huwezi shindana na asili wewe,kama Kwa kutulia usishindane na mumeo
Mimi nisemea ule uchawa wake,,
 
Yaani polisi wetu wamefikia hatua ya kukosa kazi kweli?
Hata kama ni kweli ,hao wanachuo ni watu wazima kwani Mwijaku aliwatuma?
Badala mshugulike na walimpiga Tisasi tundu Lissu,Mzee Kibao waliomuua,Chaula au Soka na wenzake?
 
Watoto wa Chuo wwmetia aibu sanaa, wale watatu waliokuwa wanampiga mwenzao kisa Mwijaku, wanatakiwa kufukuzwa chuo haraka na kufunguliwa mashtaka baada ya uchunguzi, maana ushahidi upo wazi kabisa wa videos..

Wasichana tuliojua wasomi, wako Chuo Kikuu, kumbe wanafanya ufuska mbaya sana, na ukatili mbaya sana, sheria iwashughulikie sana na iwe funzo kwa wanafunzi wote nchini, kwani kwa tukio hili, lazima Serikali isimame kidete haswa.

Asante sana Mh. Waziri Gwajima, wewe hakika ni Waziri na Mama na unatenda haki sana, Mungu akulinde.
Mimi ninaona mabinti wote wanne wameonesha wazi wazi kuendekeza umalaya na huyo aliyedhalilishwa naye akiwemo.

Pili mabinti watatu wamejidhalilisha kwa kumuaibisha na kumshambulia mwenzao na pia kwa kuendekeza umalaya.

Mwijaku naye kamdhalilisha mke wake kwa kuendekeza umalaya na ufuska...anakula mademu wa chuo kwa kuwachanfanya. Pia ameaibisha makampuni anayoyatangazia biashara na redio au tv anayofanyia kazi
 
Mwanzoni nilikuwa nikiona Mwijaku kila saa anampost mke wake na kumpa sifa kama zote nikawa najisemea mke wake kapata mume. Kumbe looh.
Ogopa sana mwanaume anaemposti mke wake kutwa mara 3 kama vile wengine hawajaoa ...wanakuaga wanafiqun balaa..angalia mume wa Esha misotojo aliyokuwa anapikiwa na kupostiana kule lakini kumbe yule mumewe ni fish kabisa..mwijaku pia usaliti aliomfanyia mkewe..wengi wallio ndoani wanavumilia na ndio uhalisia wanachopitia kwa waume zao
 
Yote yanatokana na umaharufu alio kuwa nao mana kufanya hiko ki2 yeye sio wa kwanza ukiangalia ana ela halafu ni rijali uwez kuziacha pisi.Mm najua mwijaku ana hakir timamu na kama alikuwa anafanya kwa siri ila hao wanafnywa huamua kusambaza vdeo kwa leng wengin kupata umaarufu n.k
 
Back
Top Bottom