Weee... hapo tumbo joto kuna raha kuzungumzwa mitandaoni ila sio kwa kashfa kama hizi zinakuharibia deals nyingi za hadhi..Bas hapo Mwija anaona raha mwenyewe kuzungumzwa mitandaoni, Lol
mkuu,tofautisha utaratibu na ujingaMkewe Alice mcharo mtaratibu sna.... Hongera manka
Katika hili kosa lake liko wapi?hv huyo mwijaku huwa anajikuta nan huko daslam maana sio mara ya kwanza kuhusika kwenye ishu za mfanano huo.
Mm
Najiulizaga sana mwanaume anakuaje vile ,,Kuna wanawake wenzetu wavumilivu sana
Nimekuelewa vzr, sasa hapo bibiye ni mjinga 🤔, na wanadai jamaa anakaa kwa mwanamke ni kweli 😎mkuu,tofautisha utaratibu na ujinga
Haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi, huwezi kutumia nguvu ya wizara kutetea vimalaya vya chuo vinavyopigana kugombea mwanaume,kuna wanawake wengi wanateseka kwenye ajira, huduma mbovu za afya, elimu, nenda ocena road hospital, au hospitary yoyote ya umma uone wanawake na mabinti wanavyoteseka, harafu waziri mzima anapoteza muda kuangslia video mabinti wanapigana kisa mume wa mtu!Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa taarifa kwa umma kuhusu mabinti wanafunzi wa chuo kikuu waliomdhalilisha binti mwenzaoa, taarifa hiyo ni kama ifuatavyo
View attachment 3312883
"Ndugu Wananchi, rejeeni taarifa yangu kwa umma ya tarehe 20 Aprili, 2025 kuhusu mada tajwa hapo juu. Jeshi letu la Polisi linaendelea kutimiza wajibu wake wa kisheria kuhusu kuwahoji wahusika wa tukio hilo."
"Aidha, kwa upande mwingine, jamii nayo imeendelea kuhoji mbona aliyetajwa kuwa ni Mwijaku hakamatwi? Ndugu Wananchi, napenda kuwahakikishia kuwa, Mwijaku aliyetajwa kwenye video za mgogoro wa mabinti hao, naye atahojiwa kwa mujibu wa Sheria na baada ya hapo, Wizara yangu itaona nini ifanye kuhusu mustakabali mzima wa maadili ya jamii na nafasi ya huyo Mwijaku na wengine wote wenye nafasi zenye kuchochea kasi ya athari chanya au hasi kwenye maadili ya jamii. Aidha, nawaomba tuwe watulivu na tuendelee kufuatilia taarifa za Jeshi letu la Polisi."
View attachment 3312877
View attachment 3312867
Soma, Pia
Hakuna haja ya kufanya hivyo.Wafukuzwe tu chuo hao wanafunzi hiyo ndo adhabu wanayostahili kupewa!
Wataangalia mawasiliano ya numberKisheria hana kosalolote!
Mabinti hao watamtambuaMwijaku yupi??
Duh!..Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa taarifa kwa umma kuhusu mabinti wanafunzi wa chuo kikuu waliomdhalilisha binti mwenzaoa, taarifa hiyo ni kama ifuatavyo
View attachment 3312883
"Ndugu Wananchi, rejeeni taarifa yangu kwa umma ya tarehe 20 Aprili, 2025 kuhusu mada tajwa hapo juu. Jeshi letu la Polisi linaendelea kutimiza wajibu wake wa kisheria kuhusu kuwahoji wahusika wa tukio hilo."
"Aidha, kwa upande mwingine, jamii nayo imeendelea kuhoji mbona aliyetajwa kuwa ni Mwijaku hakamatwi? Ndugu Wananchi, napenda kuwahakikishia kuwa, Mwijaku aliyetajwa kwenye video za mgogoro wa mabinti hao, naye atahojiwa kwa mujibu wa Sheria na baada ya hapo, Wizara yangu itaona nini ifanye kuhusu mustakabali mzima wa maadili ya jamii na nafasi ya huyo Mwijaku na wengine wote wenye nafasi zenye kuchochea kasi ya athari chanya au hasi kwenye maadili ya jamii. Aidha, nawaomba tuwe watulivu na tuendelee kufuatilia taarifa za Jeshi letu la Polisi."
View attachment 3312877
View attachment 3312867
Soma, Pia
Kutajwa hakumfungi mhusika kisheria.Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa taarifa kwa umma kuhusu mabinti wanafunzi wa chuo kikuu waliomdhalilisha binti mwenzaoa, taarifa hiyo ni kama ifuatavyo
View attachment 3312883
"Ndugu Wananchi, rejeeni taarifa yangu kwa umma ya tarehe 20 Aprili, 2025 kuhusu mada tajwa hapo juu. Jeshi letu la Polisi linaendelea kutimiza wajibu wake wa kisheria kuhusu kuwahoji wahusika wa tukio hilo."
"Aidha, kwa upande mwingine, jamii nayo imeendelea kuhoji mbona aliyetajwa kuwa ni Mwijaku hakamatwi? Ndugu Wananchi, napenda kuwahakikishia kuwa, Mwijaku aliyetajwa kwenye video za mgogoro wa mabinti hao, naye atahojiwa kwa mujibu wa Sheria na baada ya hapo, Wizara yangu itaona nini ifanye kuhusu mustakabali mzima wa maadili ya jamii na nafasi ya huyo Mwijaku na wengine wote wenye nafasi zenye kuchochea kasi ya athari chanya au hasi kwenye maadili ya jamii. Aidha, nawaomba tuwe watulivu na tuendelee kufuatilia taarifa za Jeshi letu la Polisi."
View attachment 3312877
View attachment 3312867
Soma, Pia
Ni aibu sana wameleta embu fanya kama wewe ni mzazi umejinyima ukampeleka binti yako akasome chuo..Hakuna haja ya kufanya hivyo.
Watakuwa wameonewa sana sana.