MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mwijaku amedai ni aibu kubwa kwa msanii mkubwa Kama Nandy na mumewe kuendelea kusaidiwa kutunziwa Mtoto na msanii mwenzake Diamond.
Mwijaku amemtaka Nandy akamshukuru ndg Diamond kwa kipindi chote alichomsaidia na malezi ,Kisha yeye kuendelea kutuma hela ya matumizi kwa Mobetto mpaka Mtoto atakapokuwa mkubwa na kuamia rasmi kwa Nandy.
Wakuu Kuna mtu amemuelewa huyu mwamba?