Mwijaku: Ni wakati sahihi kwa Nandy kuanza kupeleka matumizi ya mtoto kwa Mobetto

Ukimfuatilia Mwijaku utapoteza muda wako.
Hao ndiyo wanavyoingiza pesa zinazowafanya waishi mjini.
Mwijaku, Juma lukole na Dada wa taifa.
Huyo dada wa taifa amefungua application inayowataka watu walipie. Hapo watu wanaishi.
Baba Levo unamjua? Mdomo ndiyo unaomfanya anakula WCB.
 
Aisee,kweli mjini shule
 
Mobeto ana mtoto wa billinas we ni kilaza kubali
Narudia tena we fala wewe sasa ndo hujaelewa unajifanya mjuaji,tittle ya thread inasema Mwijaku: Ni wakati sahihi kwa Nandy kuanza kupeleka matumizi ya mtoto kwa Mobetto,inajulikana wazi kwamba Billnas ana mtoto na mobeto lakini kwanini Mwijaku kasema Nandy ndo amchukue mtoto na sio Billnass!!?? Sasa jibu ni hivi siku zote Mwijaku anasema Billnass analelewa na Nandy hivyo hatakuwa na uwezo wa kumlea huyo mtoto thus why amemtaka Nandy(anayemlea Billnass) akamchukue mtoto amtunze na sio Billnass(anayedai analelewa na Nandy) hivi ulikunywa chai kweli!? Leo ndo nimeamin humu jf kuna watu huwa wanaamka na stress wallah
 
Machoko mnajuana kwa hiyo mobeto hana uwezo wa kumtunza mwanae
 
Huyu ilikuwaje akazaliwa wa kiume
FB_IMG_16717831064586039.jpg
 
We fala nini! Sasa hapo ambacho hakieleweki ni nini,Nandy ana mtoto na Mobeto!??
[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cha unabe..apambane na familia yake..ya mobetto na familia ya william havimuhusu.
Namuoneaga huruma mkewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km yulee mbongo fakee, kauzwaa ughaibuni now kawa chawaa wa connector wake. Dunia tamuuu hii.
 
Back
Top Bottom