Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Ukimfuatilia Mwijaku utapoteza muda wako.
Hao ndiyo wanavyoingiza pesa zinazowafanya waishi mjini.
Mwijaku, Juma lukole na Dada wa taifa.
Huyo dada wa taifa amefungua application inayowataka watu walipie. Hapo watu wanaishi.
Baba Levo unamjua? Mdomo ndiyo unaomfanya anakula WCB.