Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kwa jinsi mambo yanavyoenda uchawa unaenda kuwa anguko la CCM.
Rais Samia unaweza usiwe na ufahamu mkubwa kupambana na mavitu complex, lakini hata hili dogo la uchawa unaacha mpaka linakuwa out of hand namna hii?
Anayekushauri anakupotosha, hawa machawa ndio watakuja kutumika dhidi yako kukuangusha, utakuja kushtuka jua lishazama, umeingia shimoni, wajumbe haoooo watakuacha uunge peke ako.
Endelea kuziba masikio na kuona wanaokukosoa ni maadui zako, hao hao wanaokuchekea ndio watakuwa mstari wa mbele kukuzika.
Nimelia sana, eti Balozi anasema tumpende sana Rais Samia maana Wakenya wanamtamani

Wakenya watamani mtu anaushiriwa na jopo la machawa naye anafata kama bendera? Labda Wakenya wa Temu 

Wapinzani wanazidi kupata kete za kukuzabua.
DJ tuongezee chawa wa kumpepea mama aendelee kuupiga mwingi